Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Fact. Kikubwa ni kusomesha kulingana na uwezo wako pamoja na kujenga ari ya kupenda kusoma ndani ya nafsi za watoto wakoKusoma ni kujifunza kitu , so hapa ni Ile njaa ama kiu ya ndani kabisa ya nafsi ya mtu, Kuna watu wanajifunza kitu wao wenyewe mpaka wanakuwa wabobezi wa fani iyo , hakuna mtu atakufanya uwe na kiu ya maarifa uwe unajisomea wakati ambao mtu hakuoni, ni sawa na mtu kutafuta umbeya, kuangalia porrno mtu anatafuta mwenyewe anajua ni wapi atakapoweza kidhi haja ya moyo wake
Inaumiza sana.Akisema LIKUD anaambiwa eti atafute hela.
Mtoa mada utakuwa umenikosea heshima sana kama utakuwa hujamtandika " KELBU" huyo mwanamke mjinga asie jielewa.
Anawapa watoto wake psychological torture ya hali ya juu sana.
Watoto wanaona wenzao wanaenda shule kusoma halafu wao wapo tu nyumbani
Hakuna namna ngoja tumripoti.Mpelekeni huko serikalini
Kila kitu unachokiona mbele yako ndivyo ulivyo. Mimi japo ckubalian na watoto kuwa nyumban lakin nakubaliana na huyo mama kuwa kaona kuna utofauti wa chochote cha serikali na cha binafsi na vile tu uwezo han ila angalau ameona kunahitajika mabadiliko na yupo tayar kulipa gharama kuyakabili. Huyo ni mama shujaaLeo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu, ni single Maza lakini kitendo cha kusomesha watoto shule za serikali anasema ni upumbavu.
Anayesoma EMS, government shool na international school wote wanafika chuo kikuu. Sasa kwanini mtu ujitese kufanya vitu kwa sifa?
Yes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani
Ana hoja asikilizwe!Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu, ni single Maza lakini kitendo cha kusomesha watoto shule za serikali anasema ni upumbavu.
Anayesoma EMS, government shool na international school wote wanafika chuo kikuu. Sasa kwanini mtu ujitese kufanya vitu kwa sifa?
Yes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani
Soma vizuri,hajaingilia!Ujinga ni kuingilia mambo ya watu.
Huu mwaka single mother mpaka tukome.Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.