Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Kusoma ni passion, huwezi lazimisha cow wanywe maji Ila utamsaidia kumpeleka mtoniFact. Kikubwa ni kusomesha kulingana na uwezo wako pamoja na kujenga ari ya kupenda kusoma ndani ya nafsi za watoto wako
hakuna uhusiano wowote, wewe ni kilaza tu, ems zimekuja juzi na watu tumetusua huku tukichunga ng'ombehuyo mama yupo sahihi.. sisi wa kayumba tulikuwa tunaishia vichakani.. hatupo nyumbani hatupo shuleni..
wenzangu wa Magari ya njano wanakichapa kingereza swafi mimi nimesha kariri what is physics nikiletewa define physics nafeli.. WTF
Umbeya unamsumbua anaacha kuangalia mambo yake anakodolea ya wengineSoma vizuri,hajaingilia!
Maisha ya mtu muachie muhusika atajijua na watoto wakeNitashangaa mtualiyefika Chuo kikuu na anakipato cha kawaida kujitesa kusomesha watoto shule za gharama kubwa Nje wa uwezo wake mpka kufikia anakopa.
Mimi mkionyesha waliosomea International au EMS ambao ni wagunduzi au wanasayansi Wakubwa nitauona huo umuhimu wa kujibana na kukopa Kisa Elimu
Lakini kama ni hawa ninaokutana nao huku kwa kweli ule ni uwekezaji wa aibu.
Zingatia: Kila mtu asomeshe kulingana na hadhi na uwezo wake kiuchumi.
Sio unauwezo wa kusomesha shule ya Milioni Moja alafu upeleke mtoto shule ya bure au Laki mbili. Hiyo sio HAKI.
Ni kumuonea mtoto
Na sio uwezo wako ni Ada ya Laki tano alafu unapeleka mtoto shule ya Milioni Mbili. Hiyo sio HAKI Wala sio AKILI na Wala Sio UPENDO
Ni kujidhulumu, ukosefu wa AKILI
Maisha ya mtu muachie muhusika atajijua na watoto wake
Sijui kwa nini mtu kama wewe huna hata mtoto unajitia mshsuri wa wenye watoto
Kazae kwanza
Ungekuwa na nguvu za.kiume ungeshaoa na kuzalisha lakini hamna kitu upo upo tuNjoo nikuzalishe mapacha si umesurufu?
Ungekuwa na nguvu za.kiume ungeshaoa na kuzalisha lakini hamna kitu upo upo tu
Inawezekana ile story ya kwamba watoto wa shule za msingi za serikali wanafaulu mitihani ya kuingia kidacho cha kwanza ila kule wanabainika hawazijui KKK. kusoma kuandika kuhesabuLeo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu, ni single Maza lakini kitendo cha kusomesha watoto shule za serikali anasema ni upumbavu.
Anayesoma EMS, government shool na international school wote wanafika chuo kikuu. Sasa kwanini mtu ujitese kufanya vitu kwa sifa?
Yes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani
HAPANA MKUU, NI KAWAIDA ASEME KWAN HILO NI TAIFA LA KESHO, TUNALIANDAA KWA PAMOJA. What u doing today, hav impact tomorrowUmbeya unamsumbua anaacha kuangalia mambo yake anakodolea ya wengine
Angekuwa mzungu angemwambia mind ypur own business na angempiromoshea matusi ya nguoni
Huyu mleta mada mumbeya sana ana roho ya kike ya umbeys kutwa kuongelea ys watoto wa watu sijui ni tasa huyu mleta mada.
Mwenye watoto huwezi shinda kutwa kuongelea watoto wa watu utakuwa busy na wa kwako
Wewe Ndio mshamba,acha kuhangaika na Mambo ya watu,dunia ina Mambo mengi huwezi yote fanya ya kwako kaa kimya.Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu, ni single Maza lakini kitendo cha kusomesha watoto shule za serikali anasema ni upumbavu.
Anayesoma EMS, government shool na international school wote wanafika chuo kikuu. Sasa kwanini mtu ujitese kufanya vitu kwa sifa?
Yes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani
Mzazi muhusika mwenye mtoto.ndie anajua zaidi taifa lake la kesho liweje asiingiliwe kwenye mwelekeo wake mzuriHAPANA MKUU, NI KAWAIDA ASEME KWAN HILO NI TAIFA LA KESHO, TUNALIANDAA KWA PAMOJA. What u doing today, hav impact tomorrow
🙏🙏Bila samahaniYes, unaweza kusomesha popote kwa gharama zozote ila kitendo cha kuishi kwa shida , msosi wa shida , unavaa mitambara ili kubana ada binafsi naona ni utahira fulani hivi. Samahani
Si ungesema tu " Without sorry"🙏🙏Bila samahani
🤣🤣🤣Ilitakiwa niseme Ivo kumbe...sawaSi ungesema tu " Without sorry"