Mpaka leo tarehe 23.02.2025 huyu mama hajapeleka watoto shule kisa hana ada, ukimwambia shule za serikali zipo anasema hawezi kufanya huo ujinga

Kwenye maoni ya wadau wa elimu ilpendekezwa shule zote zifanane ziwe EMs lakini kwasababu ya divide and rule watawala walikwepa
 
hakuna uhusiano wowote, wewe ni kilaza tu, ems zimekuja juzi na watu tumetusua huku tukichunga ng'ombe
Zimekuja juzi huko kijijini kwenu ila huku kwetu zipo kitambo sana..

Kila mtu ana target yake ya kutusua kama unaona hapo ulipo ndo umetusua.. dunia imechange Bro sikuhz Watu wana pambana watoto wasome vzur Walale pazur
 
Mzazi muhusika mwenye mtoto.ndie ansjua zaidi taifa lake la kesho liweje asiingiliwe kwenye mwelekeo wake mzuri
Ni kwel mkuu usemalo, ila taifa linaandaliwa na yey, yule, wale, mim na wew pia tunahusika kuliandaa taifa la kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…