Mpaka leo, wapo wanaoamini Tundu Lissu alishambuliwa na vikosi vya Serikali awamu ya tano, na wapo wanaoamini ni mchezo wa CHADEMA kufitinisha utawala

Nchi Ina wachawi na sifa ya uchawi ni kutoona aibu
 
Hili ni bumunda la Lumumba linadhiidhirisha jinshi serikari yao ilivyodhaifu kama chana kinaweza kupanga uhalifu na kutekeleza
Bila mifumo ya usalama kubaini na kuchukua hatua

Lakini chadema waliomba uchunguzi wa mashirika ya kijasusi ya kimataifa
Ccm wamegoma

Sijui hili bumunda linasemaje
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Sio, swala, LA, kuamini tu, hakuna kitu softicated kwenye ujambazi, wa CCM na vyombo vya dola, jambo lipo wazi, hata, kama, wale operators hawakutoka TISS pale makumbusho, Ila plan yote ilikuwa sanctioned kutoka ikulu ya JPM, na, TISS, walikua wanajua, hii, TISS, ya sasa, hv ni, kama branch, LA, chama, cha, CCM tu, inatumika kuumiza, wapinzani na, wakosoaji wa serikali,kama, wewe umeishawahi, kufika Dom, eneo aliloshambuliwa Lisu,ni, makazi,ya, viongozi, wengi wakubwa hata spika,tukio lote lilirecodiwa na CCTV camera, sasa, nani,aliyeficha hizo, records? Siku,ya, tukio walinzi, walitolewa, wote, nani,mwenye uwezo, huo?
Kama unafikiri mchezo, ulipangwa na insiders, wa, chadema ili wamuue Lisu, harafu iweje? This theory is far fetched,
TISs, imejaa, vijana wajinga wajinga tu, wenye swaga kama vijana walioajiliwa, bank, wakiwa, na Forester na iphone, wanajiona, wameyapatia maisha
 
Ni juha pekee,tena juha wa kiwango cha SGR anayeweza si kuamini tu, hata kuwa na hisia ya kuwa CHADEMA wanahusika na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.

Narudia tena,ni juha pekee anayeweza kufikiri kuwa CHADEMA walihusika na kumpiga risasi Lissu.
 
Bongo wakati wa JPM ilikuwa ni police state, ulikuwa unaweza kupotezwa anytime, utekaji, kusafishwa bank account/ business bila kesi, kupewa kesi fake, mauaji ya viroba etc yalikuwa maisha ya kawaida chini ya Magufuli ,ushahidi upo na walioumizwa wengi bado wapo, JPM chapa kazi lakini hii mambo mengine ni udwanzi wa hali ya juu na asingepona watu walianza kuchoka uonezi wake
 
Hapana mkuu, tunajaribu kutahadharisha tu, hivii, Tundu Lissu anavyodai anafuatiliwa na watu wasiojulikana katika kipindi hiki ambapo kuna mgogoro ndani ya chama chake, unadhani tuzunguze lipi mkuu
Huo mgogoro unaujua peke yakoo?
Mgogoro huo unaoujua peke yako ni kati ya nani na nani na juu ya nini!!??
 
Nisqhihi kuna afsa mmoja akiwa mkutanoni alitoke na alikuwa kabeba kibegi kama mademu wa buguruni ,lisu anastahili kuvifahamu vymbo vinavyomlinda akiwa kazini kwake
 
Nurse aliyemsaidia mara baada ya kufikishwa hospital alifukuzwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…