Mpaka leo, wapo wanaoamini Tundu Lissu alishambuliwa na vikosi vya Serikali awamu ya tano, na wapo wanaoamini ni mchezo wa CHADEMA kufitinisha utawala

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA

Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote, ikasikiaka habari mbaya za kushambuliwa kwa risasi nyingi mh.Tundu lissu na hatimaye kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu tukio hilo baya kabisa na la kihistoria katika nchi yetu tangu kuwepo kwa vyama vingi nchini mtu maarufu na kiongozi katika nchi kushambuliwa kwa risasi tena ni mchana kweupe!

Mungu asaudie isijirudie tena ili tuendelee kuishi kwa amani, upendo na mshikamano

Kwa kuwa wapo Watanzani wengi ambao walioamini kwamba, mashambulizi hayo pengine yalitokana na amri ya Rais wa aliyekuwepo kipindi hiko hayati John Pombe Magufuli na wengine walitofautiana na uvumi huo huku wao wakiamini kuwa, huo ni mchezo tu wa Ndani kwa ndani wa wana Chadema, huku wakirejelea mambo ambayo yamewahi kujitokeza katika chama hiko na kutolea mfano wa wengi waliowahi kukumbwa na kadhia hizo ndani ya Chadema, mfano, Chacha Wangwe, kina Zitto, Sumaye na wengine wengi na hao wato wakitoa shutuma kwa kiongozi wao mkuu wa chama

Na sasa kuna kinachoendelea ndani ya Chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani nchini, Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Kuna makundi mawili sasa yakivutana na kutwishana lawama za upande mmoja wamepokea mlungula wa pesa za CCM ili kuvuruga uchaguzi wa ndani na kiongozi mmoja kwenda mbali zaidi kuhoji dhidi ya ujio wa Mh.Samia katika maadhimisho ya siku ya wanawake kichama

Mambo haya yameendelea na kuibua hisia kali ndani ya Chama, ni ukweli ulio bayana kwamba, Chadema hawako pamoja, yapo makundi mawili, moja likiwa upande wa mwenyekiti wa Chama (MBOWE) na la pili upande wa makamu Mwenyekiti (TUNDU LISSU)

Kunapotokea madai ya mmoja kuwindwa na watu wasiojylikana, wakati huo huo ndani ya chama hakuna umoja na maelewano hayapo, wale watu waliokuwa wakiamini kwamba, Kushambuliwa kwa lisasi mh Tundu Lissu kulitokana na Chadema, watakoleza habari hizi na kuziamini zaidi

Chonde Chonde, Chadema kaeni myamalize, siku zote adui hutumia mlango wa udhaifu na kushambuliana nyinyi kwa nyinyi ili awamalize na msijue kwa wepesi

UMOJA NI NGUZO YA USHINDI

INAWEZEKANA TENA KWA CHADEMA KUWA WAMOJA!

Pia soma
 
Lisu alishambuliwa na serikali ya jiwe tena kwa maelekezo yake kabisa. Ushahidi:-
1. Aliwakataza wanaccm na wabunge watokanao na ccm kwenda kumuona mbunge mwenzao. Kama unakumbuka mpk Nyalandu akaamua kuondoka ccm. Mama Samia alpoenda Nairobi kumuona alitukanwa matusi ya nguoni mpk nusura ajiuzulu uVP.

2. Alipiga marufuku kumchangia damu, kumchangia fedha, na kuvaa t-shirt maalumu za "get well soon Lisu" zilizokuwa zimetengenezwa.
3. Hakuruhusu uchunguzi kufanyika ili kuwabaini waliotenda kosa Hilo kwakuwa alijua atachafuka. Unajua kisa cha IGP Mangu kuondolewa?

4. Alimvua ubunge na akamnyima fedha za matibabu.
5. Alitaka amalizwe na madaktari kabla ya kupelekwa nje kutibiwa. Unajua sababu ya Dr. Ulisubisya kuondolewa wizara ya afya na kutupwa ubalozi?

Mshenzi sana jiwe, bora amekufa
 
Ni dola ndiyo ilimshambulia Lissu. Kwa jinsi Magufuli alivyokuwa anatafuta namna ya kuifuta Chadema,kama ni wao Chadema ndiyo wamefanya shambulio lile wahusika wote wangekamatwa na wangefungwa maisha na hicho chama kisingekuwepo tena. Hii theory yako imeshajaribiwa zaidi ya mara mia na imefeli,au wewe ulikuwa hujazaliwa bado.
 
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA

Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote, ikasikiaka habari mbaya za kushambuliwa kwa risasi nyingi mh.Tundu lissu na hatimaye kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu tukio hilo baya kabisa na la kihistoria katika nchi yetu tangu kuwepo kwa vyama vingi nchini mtu maarufu na kiongozi katika nchi kushambuliwa kwa risasi tena ni mchana kweupe!

Mungu asaudie isijirudie tena ili tuendelee kuishi kwa amani, upendo na mshikamano

Kwa kuwa wapo Watanzani wengi ambao walioamini kwamba, mashambulizi hayo pengine yalitokana na amri ya Rais wa aliyekuwepo kipindi hiko hayati John Pombe Magufuli na wengine walitofautiana na uvumi huo huku wao wakiamini kuwa, huo ni mchezo tu wa Ndani kwa ndani wa wana Chadema, huku wakirejelea mambo ambayo yamewahi kujitokeza katika chama hiko na kutolea mfano wa wengi waliowahi kukumbwa na kadhia hizo ndani ya Chadema, mfano, Chacha Wangwe, kina Zitto, Sumaye na wengine wengi na hao wato wakitoa shutuma kwa kiongozi wao mkuu wa chama

Na sasa kuna kinachoendelea ndani ya Chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani nchini, Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Kuna makundi mawili sasa yakivutana na kutwishana lawama za upande mmoja wamepokea mlungula wa pesa za CCM ili kuvuruga uchaguzi wa ndani na kiongozi mmoja kwenda mbali zaidi kuhoji dhidi ya ujio wa Mh.Samia katika maadhimisho ya siku ya wanawake kichama

Mambo haya yameendelea na kuibua hisia kali ndani ya Chama, ni ukweli ulio bayana kwamba, Chadema hawako pamoja, yapo makundi mawili, moja likiwa upande wa mwenyekiti wa Chama (MBOWE) na la pili upande wa makamu Mwenyekiti (TUNDU LISSU)

Kunapotokea madai ya mmoja kuwindwa na watu wasiojylikana, wakati huo huo ndani ya chama hakuna umoja na maelewano hayapo, wale watu waliokuwa wakiamini kwamba, Kushambuliwa kwa lisasi mh Tundu Lissu kulitokana na Chadema, watakoleza habari hizi na kuziamini zaidi

Chonde Chonde, Chadema kaeni myamalize, siku zote adui hutumia mlango wa udhaifu na kushambuliana nyinyi kwa nyinyi ili awamalize na msijue kwa wepesi

UMOJA NI NGUZO YA USHINDI

INAWEZEKANA TENA KWA CHADEMA KUWA WAMOJA!

Pia soma
Sio Yule mkuu WA mkoa kweli?
 
Lisu alishambuliwa na serikali ya jiwe tena kwa maelekezo yake kabisa. Ushahidi:-
1. Aliwakataza wanaccm na wabunge watokanao na ccm kwenda kumuona mbunge mwenzao. Kama unakumbuka mpk Nyalandu akaamua kuondoka ccm. Mama Samia alpoenda Nairobi kumuona alitukanwa matusi ya nguoni mpk nusura ajiuzulu uVP.

2. Alipiga marufuku kumchangia damu, kumchangia fedha, na kuvaa t-shirt maalumu za "get well soon Lisu" zilizokuwa zimetengenezwa.
3. Hakuruhusu uchunguzi kufanyika ili kuwabaini waliotenda kosa Hilo kwakuwa alijua atachafuka. Unajua kisa cha IGP Mangu kuondolewa?

4. Alimvua ubunge na akamnyima fedha za matibabu.
5. Alitaka amalizwe na madaktari kabla ya kupelekwa nje kutibiwa. Unajua sababu ya Dr. Ulisubisya kuondolewa wizara ya afya na kutupwa ubalozi?

Mshenzi sana jiwe, bora amekufa
Sawa vp safari hii mtamsingizia nani mana dalili ndio kama hizo
 
Hivi dereva wake yupo wapi, maana tangu waende naye Ubelgiji hazungumzwi kabisa wakati ndiye shahidi no 1
Hata huyo Lissu hataki kuzungumzia hilo, sasa jiulize mwnyw n kwann
 
Lisu alishambuliwa na serikali ya jiwe tena kwa maelekezo yake kabisa. Ushahidi:-
1. Aliwakataza wanaccm na wabunge watokanao na ccm kwenda kumuona mbunge mwenzao. Kama unakumbuka mpk Nyalandu akaamua kuondoka ccm. Mama Samia alpoenda Nairobi kumuona alitukanwa matusi ya nguoni mpk nusura ajiuzulu uVP.

2. Alipiga marufuku kumchangia damu, kumchangia fedha, na kuvaa t-shirt maalumu za "get well soon Lisu" zilizokuwa zimetengenezwa.
3. Hakuruhusu uchunguzi kufanyika ili kuwabaini waliotenda kosa Hilo kwakuwa alijua atachafuka. Unajua kisa cha IGP Mangu kuondolewa?

4. Alimvua ubunge na akamnyima fedha za matibabu.
5. Alitaka amalizwe na madaktari kabla ya kupelekwa nje kutibiwa. Unajua sababu ya Dr. Ulisubisya kuondolewa wizara ya afya na kutupwa ubalozi?

Mshenzi sana jiwe, bora amekufa
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu! Jiwe alikuwa ni WA hovyo sana na mshamba wa siasa!
 
Hivi dereva wake yupo wapi, maana tangu waende naye Ubelgiji hazungumzwi kabisa wakati ndiye shahidi no 1
Kuwa mstarabu basi. Je angekufa uchunguzi usingefanyika? Kila saa dereva! Shit!
 
Lisu alishambuliwa na serikali ya jiwe tena kwa maelekezo yake kabisa. Ushahidi:-
1. Aliwakataza wanaccm na wabunge watokanao na ccm kwenda kumuona mbunge mwenzao. Kama unakumbuka mpk Nyalandu akaamua kuondoka ccm. Mama Samia alpoenda Nairobi kumuona alitukanwa matusi ya nguoni mpk nusura ajiuzulu uVP.

2. Alipiga marufuku kumchangia damu, kumchangia fedha, na kuvaa t-shirt maalumu za "get well soon Lisu" zilizokuwa zimetengenezwa.
3. Hakuruhusu uchunguzi kufanyika ili kuwabaini waliotenda kosa Hilo kwakuwa alijua atachafuka. Unajua kisa cha IGP Mangu kuondolewa?

4. Alimvua ubunge na akamnyima fedha za matibabu.
5. Alitaka amalizwe na madaktari kabla ya kupelekwa nje kutibiwa. Unajua sababu ya Dr. Ulisubisya kuondolewa wizara ya afya na kutupwa ubalozi?

Mshenzi sana jiwe, bora amekufa
C

Hao wanaomfutilia sasa ni mzimu toka kaburini!
 
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA

Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote, ikasikiaka habari mbaya za kushambuliwa kwa risasi nyingi mh.Tundu lissu na hatimaye kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu tukio hilo baya kabisa na la kihistoria katika nchi yetu tangu kuwepo kwa vyama vingi nchini mtu maarufu na kiongozi katika nchi kushambuliwa kwa risasi tena ni mchana kweupe!

Mungu asaudie isijirudie tena ili tuendelee kuishi kwa amani, upendo na mshikamano

Kwa kuwa wapo Watanzani wengi ambao walioamini kwamba, mashambulizi hayo pengine yalitokana na amri ya Rais wa aliyekuwepo kipindi hiko hayati John Pombe Magufuli na wengine walitofautiana na uvumi huo huku wao wakiamini kuwa, huo ni mchezo tu wa Ndani kwa ndani wa wana Chadema, huku wakirejelea mambo ambayo yamewahi kujitokeza katika chama hiko na kutolea mfano wa wengi waliowahi kukumbwa na kadhia hizo ndani ya Chadema, mfano, Chacha Wangwe, kina Zitto, Sumaye na wengine wengi na hao wato wakitoa shutuma kwa kiongozi wao mkuu wa chama

Na sasa kuna kinachoendelea ndani ya Chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani nchini, Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Kuna makundi mawili sasa yakivutana na kutwishana lawama za upande mmoja wamepokea mlungula wa pesa za CCM ili kuvuruga uchaguzi wa ndani na kiongozi mmoja kwenda mbali zaidi kuhoji dhidi ya ujio wa Mh.Samia katika maadhimisho ya siku ya wanawake kichama

Mambo haya yameendelea na kuibua hisia kali ndani ya Chama, ni ukweli ulio bayana kwamba, Chadema hawako pamoja, yapo makundi mawili, moja likiwa upande wa mwenyekiti wa Chama (MBOWE) na la pili upande wa makamu Mwenyekiti (TUNDU LISSU)

Kunapotokea madai ya mmoja kuwindwa na watu wasiojylikana, wakati huo huo ndani ya chama hakuna umoja na maelewano hayapo, wale watu waliokuwa wakiamini kwamba, Kushambuliwa kwa lisasi mh Tundu Lissu kulitokana na Chadema, watakoleza habari hizi na kuziamini zaidi

Chonde Chonde, Chadema kaeni myamalize, siku zote adui hutumia mlango wa udhaifu na kushambuliana nyinyi kwa nyinyi ili awamalize na msijue kwa wepesi

UMOJA NI NGUZO YA USHINDI

INAWEZEKANA TENA KWA CHADEMA KUWA WAMOJA!

Pia soma
Unawezaje kufanya tukio kama lile Dodoma(katikati ya nchi) afu usikamatwe na polisi.Kawaida ukifanya uharifu Dodoma huwezi chomoka,utachomoka tu kama kuna maelekezo ya serikali.
 
Mkuu kuna magaidi hufanya sana mstukio hayo katikati ya majiji na yadikamatwe
 
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA

Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote, ikasikiaka habari mbaya za kushambuliwa kwa risasi nyingi mh.Tundu lissu na hatimaye kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu tukio hilo baya kabisa na la kihistoria katika nchi yetu tangu kuwepo kwa vyama vingi nchini mtu maarufu na kiongozi katika nchi kushambuliwa kwa risasi tena ni mchana kweupe!

Mungu asaudie isijirudie tena ili tuendelee kuishi kwa amani, upendo na mshikamano

Kwa kuwa wapo Watanzani wengi ambao walioamini kwamba, mashambulizi hayo pengine yalitokana na amri ya Rais wa aliyekuwepo kipindi hiko hayati John Pombe Magufuli na wengine walitofautiana na uvumi huo huku wao wakiamini kuwa, huo ni mchezo tu wa Ndani kwa ndani wa wana Chadema, huku wakirejelea mambo ambayo yamewahi kujitokeza katika chama hiko na kutolea mfano wa wengi waliowahi kukumbwa na kadhia hizo ndani ya Chadema, mfano, Chacha Wangwe, kina Zitto, Sumaye na wengine wengi na hao wato wakitoa shutuma kwa kiongozi wao mkuu wa chama

Na sasa kuna kinachoendelea ndani ya Chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani nchini, Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Kuna makundi mawili sasa yakivutana na kutwishana lawama za upande mmoja wamepokea mlungula wa pesa za CCM ili kuvuruga uchaguzi wa ndani na kiongozi mmoja kwenda mbali zaidi kuhoji dhidi ya ujio wa Mh.Samia katika maadhimisho ya siku ya wanawake kichama

Mambo haya yameendelea na kuibua hisia kali ndani ya Chama, ni ukweli ulio bayana kwamba, Chadema hawako pamoja, yapo makundi mawili, moja likiwa upande wa mwenyekiti wa Chama (MBOWE) na la pili upande wa makamu Mwenyekiti (TUNDU LISSU)

Kunapotokea madai ya mmoja kuwindwa na watu wasiojylikana, wakati huo huo ndani ya chama hakuna umoja na maelewano hayapo, wale watu waliokuwa wakiamini kwamba, Kushambuliwa kwa lisasi mh Tundu Lissu kulitokana na Chadema, watakoleza habari hizi na kuziamini zaidi

Chonde Chonde, Chadema kaeni myamalize, siku zote adui hutumia mlango wa udhaifu na kushambuliana nyinyi kwa nyinyi ili awamalize na msijue kwa wepesi

UMOJA NI NGUZO YA USHINDI

INAWEZEKANA TENA KWA CHADEMA KUWA WAMOJA!

Pia soma
Endapo kama TAL alishambuliwa na Wahuni wa mitaani Basi Uchunguzi wa kijinai LAZIMA ungekuwa umefanyika. Lakini kwa kuwa hakuna uchunguzi wa kijinai ambao umefanyika mpaka sasa, implied waliotekeleza tukio hilo watakuwa ni 'Licenced Killers.'
 
Hivi dereva wake yupo wapi, maana tangu waende naye Ubelgiji hazungumzwi kabisa wakati ndiye shahidi no 1
Shahidi namba moja ni yule aliyetumwa kutoa zile kamera. Uchunguzi ukifanyika muda wa siku moja tu wahusika wote watakamatwa na namba moja ni Bashite.
 
Back
Top Bottom