masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kama tu aliyejuu hakuna anachokifanya ulitegemea hao Wapuuzi wa hapo Kariakoo Sokoni nao wawe na jipya pia Mkuu?Wanachojua ni kukusanya tu siyo kuwezesha njia za kupata hiyo kodi
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusemaHichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha mixa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga
Jamaniii leo nimeshuhdia...
Wamejaa k.koo na vidaftari kila goli ila miundombinu sasaWanachojua ni kukusanya tu siyo kuwezesha njia za kupata hiyo kodi
Ni kero ni kero kuliko kero ilivyo yaani kuna maduka kama 7 mtaa wa livingtone nafikiri nyuma ya pemba kamtaa kote pale maji usawa wa kiuno dahKama tu aliyejuu hakuna anachokifanya ulitegemea hao Wapuuzi wa hapo Kariakoo Sokoni nao wawe na jipya pia Mkuu?
Mpaka kiamaHichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga.
Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea.
Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya majo taka ni mbovu kiasi hivi? Hizo kodi TRA na Serikali mnapeleka wapi ikiwa Kariakoo inanuka kinyesi?
Kabisa yaani aisee kipindupindu ni Mungu tuSio tu hapo, sehemu kubwa ya miundombinu ya jiji zima la Dar es Salaam haina uwezo wa kukabiliana na mvua nyingi.
Mpaka kiama kodi inakusanywa matrilion bango kubwa MKOA WA KIKODIMpaka kiama
Swala la miundombinu kariakoo kuanzia hao madiwani mpaka wa juu wamelipa mgongoKila msimu wa mvua mambo haya hujitokeza kwa makali yanayotofautiana jijini Dar - lakini mimi sioni hatua za maana zinazochukuliwa kupunguza au kumaliza shida hii!!
Maji ni kimo cha magoti unafikiri utapita wapi usiyakanyageUSISAHAU NA UCHAFU PIA MKUU , UKIONA MAJI HUYAELEWI KKOO USIYAKANYAGEEEEEEE
View attachment 2971230
Duuh...machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga
Muulize mzee mudy side,ye kwao huko tuko nae humu na faizafoxy.Kila msimu wa mvua mambo haya hujitokeza kwa makali yanayotofautiana jijini Dar - lakini mimi sioni hatua za maana zinazochukuliwa kupunguza au kumaliza shida hii!!
wakikujibu uniite mbwa nimekaa pale , kama kuuutwaaaa kusifia sijui mama kafanya ninj sijui mama kaleta mvua unadhani kuna mwenye akili hapo? TRUMP aliwahi kusema waaafrika ni lazima tutawaliwe upya ili akili zituirudieHichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga.
Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea.
Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya majo taka ni mbovu kiasi hivi? Hizo kodi TRA na Serikali mnapeleka wapi ikiwa Kariakoo inanuka kinyesi?