Mpaka muda huu ni wazi kuwa Wasafi Festival ni Joka la kibisa kwa Tigo Fiesta.

Tatizo la wasafi nao mwaka huu wameanza ubaguzi wa kupeana madili kiushkaji hali iliyopelekea hata niki mbishi kulalamika hakuna sababu ya kuwaacha wasanii kama hawa mashabiki walitegemea wasanii waliokuwa wanabaniwa clouds basi wasafi ndo jukwaa lao la kujimwambafai tamasha lakini nako watu wanaanza kubaniwa limeonesha kukosa mvuto
 
Fiesta ilikuwa zamani sasa hivi haina tofauti na kigodoro
[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mkubwa ni Mkubwa tu Chalii..Experience ndo ina'matter zaidi,Clouds wako vizuri sana kwenye ubunifu hili liko wazi kabisaa.!!vitu kama kipepeo,Fursa,Afisa wahamasishaji,Usafiri wa treni lakini pia watangazaji wa Power breakfast kupeana majina ya kikabila ya mkoa ambao fiesta inafanyika(Hahaha)
 
Wasafi yote hata kwenye media hawana jipya. Imekuwa clone tu ya Clouds.

Ukiwa mtu huru unaliona hilo.
 
Mi nasubiri tamasha la WACHAFU nikamwage radhi.
 
Yaani nimeona maelezo megi hapa ni kutaka kuwe na tamasha moja tu either Wasafi au Fiesta, kuwa na matamasha mengi ni faida zaidi
Ulitegemea mafanikio ya wasafi yawe kufeli kwa fiesta?hatuwezi kua na matamasha makubwa mawili?
 
Sioni jipya Kwa clouds, ukweli utabak pale pale , wasafi Wana mapokezi makubwa Sana kwenye Matamasha Yao ukilinganisha na fiesta, na japo fiesta wanatumia nguvu Sana na gharama kubwa lakn naona kama wanapata hasara , changamoto ya wasafi hawana vitu ving bado kama clouds, na ukweli utabak kuwa ukweli tuu, wasafi festival ni serious threat Kwa clouds labda kama tunaongelea ushabiki
 
Wewe unazungumzia wasafi ipi ? kama ni wasafi festival ata clouds wenyewe mavi yanawatoka huko waliko
 
Tofautisha bei....5000 kwa 10000 na promo kibao...
Hebu jiulize ingekua Wasafi radio inasikika mikoa yote....

Kwenye bei weka mfano wa Tecno na Samsung hapa bongo.... Utapata jibu wspi ni wengi..

Fiesta inabebwa na promo pamoja na kushuka bei....pia imeogopa mikoa yote yenye ushindani....hadi Dar kweli...
 
Kila mwaka Dar si inakuaga ya mwisho kufanya Fiesta au?
 
Wasafk festival inabebwa na uwepo wa diamond,so siku akiwa hayupo on Top maana yake Tamasha litakua limekufa au?
 
umeongea sahihi wote ni watanzania na wanaongeza kitu kwenye soko la ajira la burudani si KITU CHA KUFURAHI kwa yeyote kati yao kuanguka bali ni kitu cha kujivunia kuwa na matamasha mawili makubwa nchini
 
Tatizo la wasafi wanasukuma mkokoteni wakiwa juu ya mkokoteni.
 
Haya matamasha huwa hayana faida zaidi ya kujiongezea brand kwa makampuni husika,wanao faidi haya matamasha ni wasanii tu ila makampuni huwa dhumuni lao ni kujiongezea brand tu,kama kuna mtu yuko karibu na watu walio karibu na waandaaji wa matamasha haya kaa nae umwulize ata kwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…