Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

Hawataki utuonee huruma yaan...wanataka tukandamizwe daily
Sisi wanaume tunatabia wakati fulan ya kumfanya mwanamke ajione Hana Thaman, yaan Mwanaume anakudogosha alafu ndio anakutongoza ili wewe ujione amekupendelea.

Sisi wanaume pia Kuna wakati tunawaogopa wale Wanawake wenye kuonekana Wana hadhiii zajuuu.


Hiyo ni Siri tu nmekuibia !!!!

Ndio Sababu waweza jiuliza, mbona Wanawake esnazungumzwa vibaya tu??


Hivi Kati ya Mwanaume aliyekupa mimba akakukimbia... Na mwanaume aliyeamha kukuona na wanao.

Ninani Mwanaume wa nguvu hapo???

Lakini utashangaa, Aliyekupa mimba akaikataa, ndio atakua wakwanza, kumponda Mumeo alokuoa na watoto😂
 
Ajabu sana yaan
 
Sihalalishi Uchepukaji, maana mwenyewe Nina Mke .

Lakini kwa uzoefu naoushudia mitaani , jambo hili limekolezwa zaidi na wanaume .

Embu fikiria, Wewe unatongoza mwanamke X, hivi unadhan Mkeo yeye atakwepa mishale ??.
Kwahiyi ni karma??
 
Me idc suala la kumuumiza m'ke, na mwanaume ukiona m'ke anakuumiza ujue ni fala tu, be her rock.
 
Kama Kama nimekuelewa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…