Kama ndio kazi yake hii basi sioni kikiwa threat kwa serikali. Hiyo kazi ya kufanya vetting hata serikali inaweza kufanya sio lazima ifanywe na TLS. Nchi jirani hapo Kenya ndio unaona umuhimu wa hiki chama kwao.Unajua Wakili hawezi kufanya kazi ya Uwakili mpaka achunguzwe au Apate vigezo vya TLS na Asajiliwe na TLS??
SIjasema kazi yake Hiyo Kasome section 4 ya Sheria YA TLS utaelewa Kazi zakeKama ndio kazi yake hii basi sioni kikiwa threat kwa serikali. Hiyo kazi ya kufanya vetting hata serikali inaweza kufanya sio lazima ifanywe na TLS. Nchi jirani hapo Kenya ndio unaona umuhimu wa hiki chama kwao.
Hiyo section 4 ipo tu hadi imeliwa na mchwa, uchaguzi huu ndio kila mtu anaizungumzia.SIjasema kazi yake Hiyo Kasome section 4 ya Sheria YA TLS utaelewa Kazi zake
Ipo Na ni sheria kama zilivyo sheria zingine za Tanganyika/Tanzania BaraHiyo section 4 ipo tu hadi imeliwa na mchwa, uchaguzi huu ndio kila mtu anaizungumzia.
huyo ni mwenzetu sekta ya tofali na kumimina zege. anakumaliza nguvu bure daktari.Wafute nini??
Unajua hata maana ya mabaraza na Vyama vya kitaaluma unajua umuhimu wake??
Ni sawa na kusema MCT (Chama cha madaktari Tanganyika kifutwe) sijui kama Hata wewe ni mwanataaluma au unajua nini maana ya Taaluma
TLS sio machawa kama ma uvccmMwabukusi ameshinda
Aibu sana kwa polisiTLS sio machawa kama ma uvccm
Sijasema haipo ila nimehoji kwa nini wakati huu wa uchaguzi hiyo section 4 ndio imechukua umaarufu. Na wenyewe wamekiri kuwa viongozi waliopita hawajafanya kazi kama ambavyo imetamkwa kwenye hiyo sectionIpo Na ni sheria kama zilivyo sheria zingine za Tanganyika/Tanzania Bara
Ni nini hicho unachotumia au ndio ukada mzuka wake umepanda hadi reasoning capacity imefail?Kwamba Mwabukusi akishinda anaogopeka kiasi hicho hadi serikali iandae pandikizi lake!
Hata sioni cha maana kitakachofanywa na hao TLS. Kifutwe tu.
Wala siko vile unanidhania.Ni nini hicho unachotumia au ndio ukada mzuka wake umepanda hadi reasoning capacity imefail?
Kunywa maji baridi tulia halafu soma tena kuwa Mwambukusi kashinda
Ni kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.Wafute nini??
Unajua hata maana ya mabaraza na Vyama vya kitaaluma unajua umuhimu wake??
Ni sawa na kusema MCT (Chama cha madaktari Tanganyika kifutwe) sijui kama Hata wewe ni mwanataaluma au unajua nini maana ya Taaluma
Ni kweli miaka yote hukuona kwasababu hakukuwa na watu sahihi. This time you will see the fireKwamba Mwabukusi akishinda anaogopeka kiasi hicho hadi serikali iandae pandikizi lake!
Hata sioni cha maana kitakachofanywa na hao TLS. Kifutwe tu.
Serikali ya kipumbavu sana hii! Haijali kufuja fedha za umma!Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!
Mpaka wamejitayarisha na polisi kabisa ina maana waliandaa mapema kutuletea matokeo ya mchongo?
Uchaguzi huu wa TLS umeonesha udhaifu mkubwa kwa serilkali. Yaani kukiwa na mtu anayeweza kuwachallange tu wanafanya ujinga ambao hata mtoto mdogo anabaki anashangaa!
Wacha tusubiri kitakachojiri!
Soma pia: Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Zoezi la kuhesabu kura limekamilika, Rais wa TLS 2024 kutangazwa muda wowote kutoka sasa
Sahihi kabisa! Kuna hawa wahandisi wanataka kumnunulia Samia chopa ya kampeni, chama cha wahandisi ndiyo kwanza kinavuta shuka kuchapa usingizi badala ya kuhoji!Ni kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.
Mara kwa mara viongozi wa hivyo vyama huwa ni makada wa chama tawala au ni maafisa kwenye taasisi ya usalama wa taifa. Hivyo hivyo vyama havina faida kwa wadau wake.
Huu ujinga waliufabya kipindi kile alipokuwepo Tundu Lissu na sasa wameanza tena. Sijawahi kuona chama cha kipuuzi kama hiki chama chama cha majambazi.Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!
Mpaka wamejitayarisha na polisi kabisa ina maana waliandaa mapema kutuletea matokeo ya mchongo?
Uchaguzi huu wa TLS umeonesha udhaifu mkubwa kwa serilkali. Yaani kukiwa na mtu anayeweza kuwachallange tu wanafanya ujinga ambao hata mtoto mdogo anabaki anashangaa!
Wacha tusubiri kitakachojiri!
Soma pia: Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Zoezi la kuhesabu kura limekamilika, Rais wa TLS 2024 kutangazwa muda wowote kutoka sasa
Sada hivi vyama vimeanza KushtukaNi kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.
Mara kwa mara viongozi wa hivyo vyama huwa ni makada wa chama tawala au ni maafisa kwenye taasisi ya usalama wa taifa. Hivyo hivyo vyama havina faida kwa wadau wake.
Kinguru Si muoga walah!! Labda ifananishe na mbwa Koko mwenye kuufyata!!CCM ni waoga kama kunguru