Mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby, ina maana walishajipanga mapema kutupa matokeo ya mchongo Urais TLS?

Unajua Wakili hawezi kufanya kazi ya Uwakili mpaka achunguzwe au Apate vigezo vya TLS na Asajiliwe na TLS??
Kama ndio kazi yake hii basi sioni kikiwa threat kwa serikali. Hiyo kazi ya kufanya vetting hata serikali inaweza kufanya sio lazima ifanywe na TLS. Nchi jirani hapo Kenya ndio unaona umuhimu wa hiki chama kwao.
 
SIjasema kazi yake Hiyo Kasome section 4 ya Sheria YA TLS utaelewa Kazi zake
 
Wafute nini??
Unajua hata maana ya mabaraza na Vyama vya kitaaluma unajua umuhimu wake??

Ni sawa na kusema MCT (Chama cha madaktari Tanganyika kifutwe) sijui kama Hata wewe ni mwanataaluma au unajua nini maana ya Taaluma
huyo ni mwenzetu sekta ya tofali na kumimina zege. anakumaliza nguvu bure daktari.
 
Ipo Na ni sheria kama zilivyo sheria zingine za Tanganyika/Tanzania Bara
Sijasema haipo ila nimehoji kwa nini wakati huu wa uchaguzi hiyo section 4 ndio imechukua umaarufu. Na wenyewe wamekiri kuwa viongozi waliopita hawajafanya kazi kama ambavyo imetamkwa kwenye hiyo section
 
Kwamba Mwabukusi akishinda anaogopeka kiasi hicho hadi serikali iandae pandikizi lake!
Hata sioni cha maana kitakachofanywa na hao TLS. Kifutwe tu.
Ni nini hicho unachotumia au ndio ukada mzuka wake umepanda hadi reasoning capacity imefail?

Kunywa maji baridi tulia halafu soma tena kuwa Mwambukusi kashinda
 
Wala siko vile unanidhania.
Kwanza kitendo cha kumkata Mwabukusi na kufungua kesi, ushindi wa kesi ndio ilikuwa kampeni yake na ushindi wake.
 
Wafute nini??
Unajua hata maana ya mabaraza na Vyama vya kitaaluma unajua umuhimu wake??

Ni sawa na kusema MCT (Chama cha madaktari Tanganyika kifutwe) sijui kama Hata wewe ni mwanataaluma au unajua nini maana ya Taaluma
Ni kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.

Mara kwa mara viongozi wa hivyo vyama huwa ni makada wa chama tawala au ni maafisa kwenye taasisi ya usalama wa taifa. Hivyo hivyo vyama havina faida kwa wadau wake.
 
Kwamba Mwabukusi akishinda anaogopeka kiasi hicho hadi serikali iandae pandikizi lake!
Hata sioni cha maana kitakachofanywa na hao TLS. Kifutwe tu.
Ni kweli miaka yote hukuona kwasababu hakukuwa na watu sahihi. This time you will see the fire
 
Wakuu,

Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.

Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?

Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!

Mpaka wamejitayarisha na polisi kabisa ina maana waliandaa mapema kutuletea matokeo ya mchongo?

Uchaguzi huu wa TLS umeonesha udhaifu mkubwa kwa serilkali. Yaani kukiwa na mtu anayeweza kuwachallange tu wanafanya ujinga ambao hata mtoto mdogo anabaki anashangaa!

Wacha tusubiri kitakachojiri!
Soma pia: Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Zoezi la kuhesabu kura limekamilika, Rais wa TLS 2024 kutangazwa muda wowote kutoka sasa
Serikali ya kipumbavu sana hii! Haijali kufuja fedha za umma!
 
Ni kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.

Mara kwa mara viongozi wa hivyo vyama huwa ni makada wa chama tawala au ni maafisa kwenye taasisi ya usalama wa taifa. Hivyo hivyo vyama havina faida kwa wadau wake.
Sahihi kabisa! Kuna hawa wahandisi wanataka kumnunulia Samia chopa ya kampeni, chama cha wahandisi ndiyo kwanza kinavuta shuka kuchapa usingizi badala ya kuhoji!
 
Wakuu,

Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.

Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?

Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!

Mpaka wamejitayarisha na polisi kabisa ina maana waliandaa mapema kutuletea matokeo ya mchongo?

Uchaguzi huu wa TLS umeonesha udhaifu mkubwa kwa serilkali. Yaani kukiwa na mtu anayeweza kuwachallange tu wanafanya ujinga ambao hata mtoto mdogo anabaki anashangaa!

Wacha tusubiri kitakachojiri!
Soma pia: Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Zoezi la kuhesabu kura limekamilika, Rais wa TLS 2024 kutangazwa muda wowote kutoka sasa
Huu ujinga waliufabya kipindi kile alipokuwepo Tundu Lissu na sasa wameanza tena. Sijawahi kuona chama cha kipuuzi kama hiki chama chama cha majambazi.
 
Ni kwamba kwa Tanzania vyama hivi vya kitaaluma na vya wafanyakazi vinatumika kama vyama tanzu vya chama tawala na ndio maana huwezi kuvikuta vikitofautiana na chama tawala.

Mara kwa mara viongozi wa hivyo vyama huwa ni makada wa chama tawala au ni maafisa kwenye taasisi ya usalama wa taifa. Hivyo hivyo vyama havina faida kwa wadau wake.
Sada hivi vyama vimeanza Kushtuka
 
Back
Top Bottom