Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua.
Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo.
Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa mbali mbali kusafiri kwenda Dar. Zipo habari hapa JF za magari ya polisi yakionekana kusafiri kutoka Moshi siku ya jana kwenda Dar.https://www.jamiiforums.com/threads/update-maandamano-sept-23-tayari-moshi-huu-unafuka.2259013/unread
Huko Dar polisi wameonekana wakifanya doria ama mazoezi. Hayo ndio maandamano!
Huku serkali ikisubiri kuzuia maandamano ujumbe ulishafika siku nyingi na CHADEMA mpaka sasa wamefanikiwa kupeleka ujumbe kunakotakiwa. Hii tactic ni kubwa.