Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.

Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana.

Sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii.

Sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...

Sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..

Zaidi sana, uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..

Hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa.

hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao mpaka sasa ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao kiuchumi, kijamii na kisiasa:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
 
ni Chama Cha Mapinduzi CCM...

sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana...

sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii...

sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...

sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..

zaidi sana,
uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..

hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa....

hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao 🐒
Mkuu kumbuka kuna ibada pia, kasali kwanza dah! Hizi ajira hizi, kazi ipo.
 
naona hio mikopo inayokalibia kufika dora. tilioni 100 ccm inaikopea arusha au vikindu ndomana si tegemezi kabisa kwa mataifa ya nje
 
Kwa miaka 17+45 na nchi ni masikini wa kutupwa bado unataka kumdanganya nani sasa?
kwahiyo hapo ndio umejitutumua mpaka ukomo wa uwezo wako wa kufikiri mbadala wa hoja yangu ya msingi, right?:pedroP:

you are very good to reply than to understand:pedroP:
 
Hata ungeandika huku unalia,CCM hakina jipya la kuwapa wananchi.Niuelewe ujingaujinga?Kundi la bandits tu.
bado unababaika na kurukaruka tu bila kueleza mbadala wa hoja yangu ya msingi, amabayo iko wazi na bayana kabisa :pedroP:
 
naona hio mikopo inayokalibia kufika dora. tilioni 100 ccm inaikopea arusha au vikindu ndomana si tegemezi kabisa kwa mataifa ya nje
come again plz gentleman,
sijakupata vizuri tafadhali:pedroP:
 
Kwa sababu utakula uzalendo kwa kijiko?Tatizo la umasikini wa akili linawalazimisha mshabikie na kujidai mnawapenda na kujinasbisha kwa wezi,walaghai na mahasidi CCM.
try to deconstruct me with alternatives bas....

gubu na mihemko sio issue sana kamanda, usione aibu :pedroP:
 
try to deconstruct me with alternatives bas....

gubu na mihemko sio issue sana kamanda, usione aibu :pedroP:
Mbona unakuwa a freak within your co-freaks?Unataka nikuambie hilo ni baya na nikuwekee mema viganjani?Halafu ukiulizwa una umri gani utachukia?Kataa na umfukuze kichaa na makopo yake.
 
Mbona unakuwa a freak within your co-freaks?Unataka nikuambie hilo ni baya na nikuwekee mema viganjani?Halafu ukiulizwa una umri gani utachukia?Kataa na umfukuze kichaa na makopo yake.
naona hutaki kugusa hoja kabisa, unazunguka na vihoja tu bila mpangilio...

hujui mbadala wa hoja yangu, sijui ni kwasababu unaona aibu kusema, huoni au hujui mbadala wa chama cha Mapinduzi 🐒
 
Back
Top Bottom