ndio,MAPINDUZI PEKEE INAYOWEZA CCM NI KUTOKA KUWA CHAMA CHA MACHAWA, NA KUWA CHAMA CHA MAKUPE.
CCM haitegemei mtu wa kikundi cha watu, CCM ni taasisi pana yenye mfumo na utaratibu maalumu wa kuwapata viongozi wa kuongoza chama na serikali...Hivi wewe Tlaatlaah ukiwa na akili zako timamu, hujalewa Wala hujavuta chochote. Nitajie watu wa CCM walio serious na maendeleo ya nchi hii, watu wasio wezi, wanaoishi kwa jasho lao, walio kwenye vyeo vyao kihalali, yaani kifupi WAADILIFU.
Mkuu kwani kuna upinzani ndani ya CCM, mbona nguvu kubwa inatumika kuongelea kuhusu mgombea kuwa mmoja ili hali utamaduni wa CCM unafahamika ulivyo kwa muhula wa pili wa urais!!! Kulikoni???ni Chama Cha Mapinduzi CCM...
sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana...
sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii...
sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...
sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..
zaidi sana,
uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..
hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa....
hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao mpaka sasa ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao kiuchumi, kijamii na kisiasa
mgombea?Mkuu kwani kuna upinzani ndani ya CCM, mbona nguvu kubwa inatumika kuongelea kuhusu mgombea kuwa mmoja ili hali utamaduni wa CCM unafahamika ulivyo kwa muhula wa pili wa urais!!! Kulikoni???
Ni kweli hujaongelea mgombea ila nilitaka kufahamu maana Mwenyekiti ndiye msimamizi wa ilani ya chama. 🙏mgombea?
kwani kuna mahali lipo jambo la mgombea nimezungumza kwenye hoja yangu? nadhani nimezungumzia taasisi pekee....
ama unataka kufahamu au unapendelea nielezee kuhusu mgombea?🐒
waTanzania hata uwabeze na uwaite jina lolote hata liwe baya kiasi gani, watakutizama tu na kukuhurumia...Chawa kwa kuwaona watanzania vipofu mnaweza
kwa uchovu na uvivu huo, eti baadae ndio unakua first class brain upinzani 🤣Inachosha kusoma maaana sijaona chakusoma bado kwakua nishajua zumun la ujumbe huu. Tanzania Yangu utainuka lin nawe uwe taifa kubwa kuitwa mbongo sio hoja ila shida ni mbongo bongo lala
Sent using Jamii Forums mobile app
ni muhimu kua na subra,Ni kweli hujaongelea mgombea ila nilitaka kufahamu maana Mwenyekiti ndiye msimamizi wa ilani ya chama. 🙏
Yote nisawa maana kila mtu ameumbwa kulinda hoja zake kuona nibora kuliko zingine. Ila wakati mwingine watu hujali maslah kuliko haki na hili ndo wimbi kubwa hutesa Africa hadi leo toka enz za uchifu had na leo. So nimwendelezo tu swali ni je lini haya yataisha tujitambue ili taifa liinuke kweli ila sio hiz porojo za kushadadia uongo kukuza hewa?kwa uchovu na uvivu huo, eti baadae ndio unakua first class brain upinzani [emoji1787]
kijitambua ni kutoka huko unakorubuniwa, na kujiunga na timu ambayo ni bayana ya ushindi wa wazi kabisaYote nisawa maana kila mtu ameumbwa kulinda hoja zake kuona nibora kuliko zingine. Ila wakati mwingine watu hujali maslah kuliko haki na hili ndo wimbi kubwa hutesa Africa hadi leo toka enz za uchifu had na leo. So nimwendelezo tu swali ni je lini haya yataisha tujitambue ili taifa liinuke kweli ila sio hiz porojo za kushadadia uongo kukuza hewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba hapo,Hii nchi hatufundishwi kuwa critical thinkers hivyo uwezo wa wengi ni kutumia akili za kukaririshwa ambazo ni chini ya common sense!!
Pamoja na umaskini woote huu jinga linaridhika na uongozi tulionao, kwa mali tulizonazo ingekuwa ni nchi ya wazungu hii au muisraeli tungechuana na mataifa ya ulaya.
Tufunge na kusali LAANA ya ujinga ituishe!!
Huyo mtumzima unayemsemea mfano nani?? Wewe?🤣🤣🤣kwamba hapo,
mtu mzima timamu, mwenye hekima na busara zake akuunge mkono, right?