NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
TAHRA WEWE [emoji41]INAONUESHA SIMBA WANAKUKAZA VIZURI SANA.
HUWEZI KUKAA NUSU SAA HUJAWAJADILI WANAUME WA LUNYASI SIMBA, MFALME WA NYIKA.
Inaonysha mnakazwa SAWASAWA, KUTWA Simba Simba.
Kapime mi mba
Mkuu uko mbali sana kujibu mambo kama hayo, please rudi kwenye mstari wako.TAHRA WEWE [emoji41]
Wewe inakuhusu nini yaani?Ukimya huu ina maana kuwa viongozi wa Simba SC pamoja na kocha wameridhishwa na viwango walivyovionesha msimu uliopita?
Kila nikikumbuka nyimbo za mashabiki kumuhusu Bocco naona kabisa kuna unafiki au wanasubiri asajiliwe na msimu uanze akosee ndiyo wakumbuke na waanze kuwalaumu wazee (John Bocco na Erasto Nyoni)?
Nawasilisha hoja.
Mkuu uko mbali sana kujibu mambo kama hayo, please rudi kwenye mstari wako.