Mpaka sasa hakuna tetesi zozote zinazowahusisha John Bocco na Erasto Nyoni kuondoka Simba SC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ukimya huu ina maana kuwa viongozi wa Simba SC pamoja na kocha wameridhishwa na viwango walivyovionesha msimu uliopita?

Kila nikikumbuka nyimbo za mashabiki kumuhusu Bocco naona kabisa kuna unafiki au wanasubiri asajiliwe na msimu uanze akosee ndiyo wakumbuke na waanze kuwalaumu wazee (John Bocco na Erasto Nyoni)?

Nawasilisha hoja.
 
Panga bado halijaanza kupita kwa wachezaji limepita kwanza kwenye benchi,ongezea na hawa Kapama,Kyombo safari lazima iwahusu.
 
INAONUESHA SIMBA WANAKUKAZA VIZURI SANA.

HUWEZI KUKAA NUSU SAA HUJAWAJADILI WANAUME WA LUNYASI SIMBA, MFALME WA NYIKA.

Inaonysha mnakazwa SAWASAWA, KUTWA Simba Simba.

Kapime mi mba
TAHRA WEWE [emoji41]
 
Ukimya huu ina maana kuwa viongozi wa Simba SC pamoja na kocha wameridhishwa na viwango walivyovionesha msimu uliopita?

Kila nikikumbuka nyimbo za mashabiki kumuhusu Bocco naona kabisa kuna unafiki au wanasubiri asajiliwe na msimu uanze akosee ndiyo wakumbuke na waanze kuwalaumu wazee (John Bocco na Erasto Nyoni)?

Nawasilisha hoja.
Wewe inakuhusu nini yaani?
 
Back
Top Bottom