Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Kwani Mdee hajachokwa?
Angepita Kizigha,Mdee angeshinda saa 4 asubuhi,lakini kwa Gwajima,hata wewe moyoni unajua Mdee ana kazi ngumu
Mdee amechokwa, hana hesabu mkononi. Kuna maeneo akienda hana cha kuwaambia maana alishawaahidi mara kadhaa na hakuna kilichofanyika. CCM walishajipanga na hili jimbo kitambo. Kazi si ndogo wa Mdee
 
Yan Halima mwenyewe atakuwa haamini jinsi Fisiemu walivohangaika hatimaye wakajimezesha ndoano wenyewe
 
Ndio huyo huyo gwajiboy aliyefanya porn na kondoo wake na ni msukuma mkabila. mapema mno halima ajiandae, kuna kaa la moto anakuja kulikalia.
Alafu msijefanya kosa na kukomalia hili la video ile! Mtajikuta mnaletewa mapya mnaanza kazi ya kuzima moto mpya yaani! Kwa Gwajima mmeletewa mtego mbaya sana
 
Ile nyomi ni from the whole of Dar, very few from Kawe
Usishangae kukuta wote hao walijiandikisha kawe, wafuasi wapo royal kwa Gwajiboy zaidi hata ya Yesu mwenyewe, trust me, huo ndio mwanzo wa ukurasa mpya wa Halima Mdee, ataungana na Mdee music kwenda mafichoni very soon.

Siasa za kiharakati ndio zinaenda zikwa rasmi this time, siasa za maendeleo ndio zitatamalaki. By the way, katika hii nyakati yetu hajatokea mwanaharakati kama The late Hon. Mkapa. Rest in Heaven father.
 
Yaani ile toa ndugu toa ndugu misa ya kwanza Gwajima ashabeba jimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mchungaji Msigwa anakukata jicho kwa mbaaaali.
 
Mnachosahau ni kuwa gwajima mlishamtengenezea njia akiwemo mdee mwenyewe..sasa halima anaenda kurudi kwenye jinsia yake ya kike.
 
Acha tuone,, October sio mbali.

Kuna watu humu huwa ni kama manabii
 
Mwenye ile clip ya mauno ya gwajiboy aweke hapa
Nyie mtangazeni tu kuwa ni mwanamme lijali, alafu akiahidi kumfikisha Halima mawinguni mpaka Bulaya asahaulike mtanuna au?

Maana anaweza sema kinachomkimbizia Halima kwa Bulaya ni Makamanda kushindwa mechi.

Nasubiri hili ligi kwa bando zote.
 
Waumini wa Kanisa Katoliki hawawezi kusahau kwa matusi makubwa aliyomtukana Kiongozi mkuu wa Kanisa Hilo Mwadhama Policarp Kardinal Pengo
 
Mzee kaona sadaka hazitoshi Corona hii, kaamua kageuka pande hii!!

Hapo anakalishwa chini asubuhi tu!!
 

..Je, Gwajima anacho kile ambacho watu wa Kawe wanakitafuta?

..mimi nahisi kwamba ukiwaweka ktk mzani Halima ana afadhali kuliko Gwajima.

..naweza kuwa nimekosea.
 
Hahahaaa..kunywa sumu Sirro aliwaambia jana, pasuka au hama nchi mkuu.
 
Akina Gwajima ni wale wanaotegemea lifti ya tume, hana lolote huyo.
 
Hahahaaa..kunywa sumu Sirro aliwaambia jana, pasuka au hama nchi mkuu.
Kila kitu kina mwisho kama ni message kutoka kwa mungu kwangu basi it’s time to find another past time hobby, mambo ya siasa achana nayo.

Hila bado naamini watanzania awastahili kuwa na kiongizi kama Gwajima the guy is just a debaucherer and an example of a sinner whose lifestyle represent all things which are immoral in any society.

He is just a ‘con artist’ exploiting vulnerable groups of society looking for hope through god.
 
Hiyo ndo demokrasia mnayoiimba kila uchao, majority rules and minority rights..na hakuna haki isokuwa na wajibu, nenda field kajionee khali ilivyo usidanganywe na multiple accounts za mitandaoni ambapo tunaandika na kujijibu wenyewe, accounts hizo hazipigi kura, hivi kweli hata kama ni wewe unasikia kijijini kwako unakuja muujiza unaoishi hutoenda kuushangaa? mtastuka kushapambazuka, kumchukia kwako mtu sio justification ya kutopendwa na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…