Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
You are entitled to air your opinion.Hiyo ndo demokrasia mnayoiimba kila uchao, majority rules and minority rights..na hakuna haki isokuwa na wajibu, nenda field kajionee khali ilivyo usidanganywe na multiple accounts za mitandaoni ambapo tunaandika na kujijibu wenyewe, accounts hizo hazipigi kura, hivi kweli hata kama ni wewe unasikia kijijini kwako unakuja muujiza unaoishi hutoenda kuushangaa? mtastuka kushapambazuka, kumchukia kwako mtu sio justification ya kutopendwa na wengine.
Hahahaaa..[emoji382][emoji382][emoji382]You are entitled to your opinion
Miakaunti yenyewe ya propaganda hizo tumeyafungua wenyewe kusemea yale kweli kwa kipindi kile kulihitajika changes tena kwa haraka sana, tunashindwa vita akapita ambaye kwa mshangao mkubwa kafanya zaidi ya yale tulokuwa tukiyasemea.You are entitled to air your opinion.
Kwanza umekariri, uchaguzi haufanyiki siku ya misa. Pili mimi ni mtu wa Kawe na kuna siri nzito tunayo tangia mwaka 2015. Ushindi wa Halima Kawe ni beyond majukwaa ya kisiasa. Tulia uone ila jua kuna siri kubwa sana na inafanywa na watu nikikwambia hutoamini.Yaani ile toa ndugu toa ndugu misa ya kwanza Gwajima ashabeba jimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdee ameshashindwa tayari. Toka achaguliwe hajawahi itisha mkutano hata mmoja pia bungeni sijawahi muona anatetea jimbo lake. Atabaki kuwa Mwenyekiti wa Bavicha.Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
Sijui unaongea vitu gani mada inahusu Kawe.Miakaunti yenyewe ya propaganda hizo tumeyafungua wenyewe kusemea yale kweli kwa kipindi kile kulihitajika changes tena kwa haraka sana, tunashindwa vita akapita ambaye kwa mshangao mkubwa kafanya zaidi ya yale tulokuwa tukiyasemea.
Ni mwendawazimu pekee ndo anaweza kesha mitandaoni kumnanga mtu alopambana tena kwa kujinyima sana kutusimamisha tena kwenye mstari sahihi, mambo ya maamuzi magumu na kufunga mikanda tuliyasemea sana, leo kutekeleza imekuwa kasahau watumishi, au hatukujua maana ya kufunga mikanda? Nani kawadanganya nchi ni ya watumishi pekee, kaza mkanda tu mkuu ukiona ngumu binya hata chini hasira zitapungua.
Ubaya wamtu utahubiriwa tu mkuu, yawezekana ndio kazi yangu.We nae mlevi tuu..ni kwel gwajima hafai kutokana na kauli zake hapo mwanzo..ila kuanza kupiga campaign ya nyumba kwa nyumba ni upuuzi tuu na kukosa kazi..siku ya kura we nenda kapige kura yako kwa huyoo uliemkubali..na sio kuanza kuhubiri ubaya wa mtu.
Maamuzi magumu ya kufunga mkanda ndo kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato bila kupitishwa na Bunge?????Miakaunti yenyewe ya propaganda hizo tumeyafungua wenyewe kusemea yale kweli kwa kipindi kile kulihitajika changes tena kwa haraka sana, tunashindwa vita akapita ambaye kwa mshangao mkubwa kafanya zaidi ya yale tulokuwa tukiyasemea.
Ni mwendawazimu pekee ndo anaweza kesha mitandaoni kumnanga mtu alopambana tena kwa kujinyima sana kutusimamisha tena kwenye mstari sahihi, mambo ya maamuzi magumu na kufunga mikanda tuliyasemea sana, leo kutekeleza imekuwa kasahau watumishi, au hatukujua maana ya kufunga mikanda? Nani kawadanganya nchi ni ya watumishi pekee, kaza mkanda tu mkuu ukiona ngumu binya hata chini hasira zitapungua.
Umemaliza kila kitu. Siongezi neno!Gwajima hafai kuwa kiongozi kwa kipimo cha namna yoyote ile.
Gwajima ndiye aliyehamasisha ukabila akisema kuwa huu ni wakati wa wasukuma, na kwamba kuwe na program ya wasukuma kusaidiana.
Lakini amewahi kutoa kauli za kuubeza uislam. Tanzania ni ya watu wa dini mbalimbali. Lakini sote tunaheshimiana na kila mmoja anaheshimu dini ya mwenzake. Hivi mimi ni nani eti kwa vile ni Mkristo, nimwone Kikwete si chochote kwa sababu siyo wa dini yangu? Yaani nimwone tajiri Bakhresa si chochote kwa sababu yeye siyo wa dini yangu? Hivi kweli tunaamini kuwa Mungu anashindwa kuwaadhibu au kuwaangamiza wasio wake? Kama kila asiye mkristo hafai mbele za Mungu, kwa nini watu hao hao tunaodhani hawafai mbele za Mungu, wakawe na mafanikio mengi katika mengi, na wakati mwingine kutuzidi tunaoamini ni wana wa Mungu kuliko wao?
Hivi kweli unaweza kuamini kuwa Mkristo Magufuli ni mwana wa Mungu zaidi kuliko Kikwete au Mzee Mwinyi? Hivi wakristo na wengine hawajafaidika katika mambo mengi kutokana na juhudi za watu wa dini tofauti na yetu?
Ukitafakari haya yote, ukimsikia mtu anawabagua watu kwa dini zao, makabila yao au maeneo yale wanayotoka au kuishi, unajua kabisa kwamba kuna mahali kichwani na rohoni hakujakaa vizuri. Kauli ya Gwajima juu ya ubaguzi wa dini na kabila haina tofauti na ile kauli ya Rais Maguguli kuwa watu wa Mwanza wasibomolewe nyumba zao kwa sababu ndio waliomchagua (ila wa Kimara Dar, tena kukiwa na order ya mahakama ya kuzuia ubomoaji, wabomolewe tu kwa vile wao siyo watu wa Mwanza)
Uchaguzi huu, tuwakatae kwa kila hali wabaguzi wote, tuwakatae wafanya upendeleo wote, tuwakatae wanaoonea watu, tuwakatae wanaoteka na kuua au kupoteza watu, tuwakatae wanaogawa vyeo kikanda, tuwakatae wanaotaka kudumisha utawala wa hofu na kuphopwa.
Tunamtaka kiongozi wa kuwaunganisha watamzania wote ili kila mmoja afurahie uwepo wake kwenye nchi yake ya Tanzania. Ambapo Mungu alimtaka aishi, afurahie maisha, amtumikie, na mwishowe amrudie.
WABAGUZI NA WENYE KUFANYA UPENDELEO HATUWATAKI, HATUWATAKI KABISA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waumini wameshindwa kumwombea Gwajima asiwe mzinzi, wataweza kumwombea ili ashinde?Nyoooooo labda wanamaombi wasiingie kazini [emoji23][emoji23][emoji23]
Msiangalie tu economic viability, angalia pia security issues mambo ambayo hata upige vuvuzela vipi huwezi elezwa na huenda Rais mwenyewe hawezi hoji wala kuongelea zaidi ya viability kiuchumi kitu ambacho ni positive pia.Maamuzi magumu ya kufunga mkanda ndo kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato bila kupitishwa na Bunge?????
Tena kwa makubaliano ambayo hayaeleweki yalipitia mchakato gani???? Umepotea sana!
Wewe jua kuwa nipo Kawe na nilijiandikisha mwaka 2015.Uko Kawe Kata Gani?? Wewe Mkenya
Security issues ndo kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Tena bila kufuata taratibu???Acha upuuzi wako hapaMsiangalie tu economic viability, angalia pia security issues mambo ambayo hata upige vuvuzela vipi huwezi elezwa na huenda Rais mwenyewe hawezi hoji wala kuongelea zaidi ya viability kiuchumi kitu ambacho ni positive pia.
Aliongea yeye Kama yeye. Haikuwa kauli ya chamaMzee Yusuf Makamba 2016 - : Gwajima ana laana ya kumdanganya Magufuli, CCM tumlaani kwa pamoja kwa nguvu zote (dakika ya 7: 24 ya video)
23 Jul 2016
Hotuba ya Mzee Yusuf Makamba akizungumzia imani yake kwa mwenyekiti mtarajiwa wa CCM Mhe. Rais John Magufuli, suala la Askofu Gwajima kusema CCM haitaki kumpa Magufuli uenyekiti