Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hilo nakataa wajumbe tu wa CCM Kawe awakumpa ushindi na asilimia kubwa ya wajumbe tunajua elimu yao.Daaah pengine wanatujua zaidi wanakawe kuliko tunavyojijua
Sina ushahidi aisee, ila mngemsaidia kupata mume yote haya yangeisha au kupungua. Mbona vidume vipo vingi tu.Una ushahidi wa hizo tuhuma za kusagana????
Ukitaka ushahidi wa clip za Gwajima kuhamasisha ukabila utapata, ukitaka ushahidi wa clip ya Gwajima akikata mauno na binti kitandani ipo!!!
Sasa wewe unasema jambo lipi hasa la ajabu????
Nyie wanaume wa Dar maboya sn mmeshindwa kumpa mimba hata wema na amber ruty kazi yenu visingizio vya hovyo tuSina ushahidi aisee, ila mngemsaidia kupata mume yote haya yangeisha au kupungua. Mbona vidume vipo vingi tu.
Kwahio mkuu nchi nzima tuwachague ccm kwa sababu kwao nirahisi kushirikiana na Serikali?.Faida za kumchagua Gwajima ni nyingi maradufu kuliko Halima!
Halima hivyo vipindi alivyopata vinamtosha!
Kwanza ni ngumu kwake kushirikiana na serikali katika kutatua kero za wananchi .
Kazi yake kukosoa na kushughulikia kesi mahakamani!
Kukosoa siyo vibaya pale inapobidi lakini mivutano na serikali isoisha inapoteza muda na kuweza kushirikiana pamoja kujadili na kuleta ufumbuzi wa mambo inakuwa vigumu.
Wananchi tunataka ufumbuzi wa matatizo na kero mbalimbali na siyo mivutano na serikali isiyoisha!
Kwahio mkuu nchi nzima tuwachague ccm kwa sababu kwao nirahisi kushirikiana na Serikali?.
WaiiKwa taarifa zilizopo maeneo ya Kawe amestushwa na uamuzi wa CCM bahati mbaya hata aliyeongoza ameaapa kumuunga Mkono Askofu. Kwa Hali hiyo mdee baibai
Basi kwa Mdee tunaomba tupewe nafasi nyingine.Nyie wanaume wa Dar maboya sn mmeshindwa kumpa mimba hata wema na amber ruty kazi yenu visingizio vya hovyo tu
Ata wangemuacha huyo huyo alieshinda kura za maoni sawa tu...CCM ingempeleka watu kama Dr.Kimei, Prof.Ndalichako, au Dr.Mpango, Ummy Mwalimu, kugombea jimbo la Kawe. Gwajima ni tapeli ambaye hatakiwi kupewa platform kama ya ubunge.
cc Kilatha
Tena akaze kweli kweli.Kwa gwajima mdee akaze
Lambda wametageti kuongeza kula za RaisGwajima mweupe sana kwenye siasa ,CCM wanafikiri waamini wa gwajima ndio wapiga kura bila kutambua waamini wake wengi sio wakazi wa jimbo la kawe.
Wewe mwenyewe umewahi kumwona gwajima kama ni mtu wa maana sana, kwa hiyo watu wanaweza kumwona wa maana na wasizingatie hizo clips. Sababu kubwa ninayoiona itamkosesha ubunge Gwajima ni aina ya wapiga kura wa jimbo la Kawe. Halima amekuwa akichaguliwa na makundi yote, wakiwemo wanaCCM kutokana na hoja zake kushabihiana na aina ya wapia kura. Gwajima angeenda kugombea jimbo la kiijiini angeshinda kirahisi Gwajima ana swaga za kishamba sana!Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.
Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake ambazo pia zinapatikana mitandaoni, na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake na kufanya aliyoyasema, hasa yale yenye element za udini, kuwafikia watu wengi zaidi na hivyo kumgharimu.
Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura.
Kingine: Waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.
Kuanzia leo na kuendelee, tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.
Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.
CCM inaangamia kwa watu wake kusosa maarifa yakiwemo hata maarifa madogo tu ya kusoma alama za nyakati!
Muda utaongea.
Aiwaaa hayo maneno matatu ya mwisho ndo hasa msingi wa mshangao wanguHilo nakataa wajumbe tu wa CCM Kawe awakumpa ushindi na asilimia kubwa ya wajumbe tunajua elimu yao.
Kawe ni jimbo ambalo liliovutia watia nia wengi wenye exposure na elimu isiyo na mashaka kwenye matokeo wengi awakuambulia ata kura moja, huyo Gwajima mwenyewe alikuwa watatu.
Sasa kama wajumbe walimkata awakuona anafaaa unadhani watu wenye akili zao timamu ambao ni asilimia kubwa ya wakazi wa Kawe watamchagua kweli ‘con artist’.
Ikitokea miujiza Gwajima akashinda eneo ambalo limejaa wasomi na professionals lazima tujiulize kwa pamoja watanzania kama akili zetu zipo sawa.