Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hilo nakataa wajumbe tu wa CCM Kawe awakumpa ushindi na asilimia kubwa ya wajumbe tunajua elimu yao.Daaah pengine wanatujua zaidi wanakawe kuliko tunavyojijua
Kawe ni jimbo ambalo liliovutia watia nia wengi wenye exposure na elimu isiyo na mashaka kwenye matokeo wengi awakuambulia ata kura moja, huyo Gwajima mwenyewe alikuwa watatu.
Sasa kama wajumbe walimkata awakuona anafaaa unadhani watu wenye akili zao timamu ambao ni asilimia kubwa ya wakazi wa Kawe watamchagua kweli ‘con artist’.
Ikitokea miujiza Gwajima akashinda eneo ambalo limejaa wasomi na professionals lazima tujiulize kwa pamoja watanzania kama akili zetu zipo sawa.