Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Unamuongelea yule mwenye mkono wa baunsa? Gwajima acha kabisa.Sio kwa jimbo la Kawe la wasomi na watu wenye uwezo wa kifedha kwa wingi!
Gwajima ana makandokando mengi sana, hawezi kupita jimbo la Kawe, labda ingekuwa jimbo lingine!
Watu wa Kawe ninaowajua mie sio wa kwenda kumchagua mtu anayejirekodi akifanya mapenzi na mwanamke. Hapana!!! Sio Kawe hii!!! Bora wangempitisha yule Mkurugenzi wa Mwananchi, Francis Nanai
Mtazamo kama hauweza kuwashawishi wajumbe wa CCM ndo aweze kuwashawishi wasomi na watu wenye uwezo wa kifedha wa jimbo la Kawe? Nadhani huijui Kawe wewe!Mnajidanganya. Hamjui kinachoendelea, Gwajima anaibeba Kawe kabla misa ya kwanza kuisha! Yaani ile toa ndugu toa ndugu huku mambo yameisha...
Anafoka kwa busara si kama mzee wa MIGA anayefoka bila busara.Anafoka haongei
Watanzania hawashabikii udini hata kidogo na nchi yetu imepata amani kwa hilo. Ila kwa suala la Gwajima yeye amejipambanua kabisa kwamba ana chuki za waziwazi kwa Waislam. Ametangaza mara nyingi sana kudhoofisha juhudi za Waislam kwa kudhamiria kuzibadilisha madrasa zetu kuwa Sunday School. Sisi Waislam wote wa Dar es Salaam tutahamia Kawe. Nyumba hadi nyumba msikiti hadi msikiti madrasa hadi madrasa kuwaambia Waislam kuwa huyu Gwajima hafai kuongoza Kawe. Ninaamini kawe ina waislam wengi sana wakutosha kumfanya huyu Askofu Mbaguzi asipite. Tutaungana na watu wengine wenye fikra na busara za kujua athari za kumchagua Gwajima. Mungu tusaidie tusiwe miongoni mwa wanafiki. Death to GwajimaSamahani Mdee,Gwajiboy humwezi
kashfa za Gwajiboy kisiasa zinambeba katika uafrika wetu!Sio kwa jimbo la Kawe la wasomi na watu wenye uwezo wa kifedha kwa wingi!!
Gwajima ana makandokando mengi sana, hawezi kupita jimbo la Kawe, labda ingekuwa jimbo lingine!!!
Watu wa Kawe ninaowajua mie sio wa kwenda kumchagua mtu anayejirekodi akifanya mapenzi na mwanamke. Hapana!!! Sio Kawe hii!!! Bora wangempitisha yule Mkurugenzi wa Mwananchi, Francis Nanai