Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

jimbo la Kawe lile mpaka linafanana na halima sasa huyo gwaji boy anaanzia WaPI kuligeti
 
Unataka kuniambia lile nyomi analojaza kila jumapili hakuna mwenye smartphone pale? Inamaana Hizo clip hawazioni? Hoja mufilisi kabisa hiyo.

Gwajiboy is untouchable.
Kwani kura zinapigwa na waumini? waumini wenyewe wanatoka kila kona ya DSM, amini mjomba, Gwajima anapigwa mapema sana.
 
Kufuatia kupitishwa rasmi kwa Askofu Dr. Josephat Gwajima kugombea jimbo la Kawe, namshauri Halima Mdee na CHADEMA wawekeze zaidi huko BAWACHA. Kwa Gwaj hawatoboi ng'ooo.

Tukutane Oktoba
Mataga mtataga mpaka mayai viza mwaka huu. Wewe uishauri Chadema kama nani?
 
kashfa za Gwajiboy kisiasa zinambeba katika uafrika wetu!

Gwajiboy ni mwanaume,akiwagonga wanawake hata kama ni mtumishi wa Mungu kisiasa hasa kwa hapa bongo hazimpunguzii chochote!
Ila kumbuka Mdee ana kashfa ya usagaji, hyo kibongobongo siyo sifa nzuri, kisiasa hata kimaadil!

Gwajiboy mfume dume unambeba!
Gwajima ana kashfa yenye ushahidi na makandokando mengi, Mdee ana kashfa za kusemwa tu zisizo hata na chembe ya ushahidi.

Gwajima angeweza kushinda jimbo la Mbagala au Ubungo huko, sio jimbo la Kawe ambalo lina wasomi wengi na watu wengi wenye uwezo wa kifedha!
 
Kufuatia kupitishwa rasmi kwa Askofu Dr. Josephat Gwajima kugombea jimbo la Kawe, namshauri Halima Mdee na CHADEMA wawekeze zaidi huko BAWACHA. Kwa Gwaj hawatoboi ng'ooo.

Tukutane Oktoba
Yani mcheza porn amshinde mdee kabda ashinde njaa
 
...ivi kwelii Gwajima huyu huyuu naye mjua mie ndio nimpe kura yng heri wangemludisha aliyestairi
 
Gwajima inabidi ajipange Sana na hoja kawe Kuna watu timamu wanaojielewa Sana kiakili na uwezo.so asijiamini Sana, chance Ni 50 kwa 50 asijiaminishe Kama makonda
Umechangia fair fair kabisa, bila ushabiki, japo kuna mtu wa kawe aliniambia eti wana kawe wanadai Mdee hajawahi fanya mkutano , wala kuongelea maslahi ya wana kawe ,wala hajaqafanyia kitu.

Nadhani yalikuwa maoni yake
 
Kufuatia kupitishwa rasmi kwa Askofu Dr. Josephat Gwajima kugombea jimbo la Kawe, namshauri Halima Mdee na CHADEMA wawekeze zaidi huko BAWACHA. Kwa Gwaj hawatoboi ng'ooo.

Tukutane Oktoba
Ushauri hapa uko wapi?
 
Back
Top Bottom