Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Hahahaaaa Gwaj ndio habari ya mjini sasaIla jamaa ni mshirikina sana
California love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa Gwaj ndio habari ya mjini sasaIla jamaa ni mshirikina sana
California love
Gwajima ni noma, Mdee lazima ajihandai kisaikolojiaHalima Md3 hamwezi Gwajiboy
Utazunguka sana, na bado! Halima ni Halima huyo Gwaji boy wenyu hamna kitu.Halima Md3 hamwezi Gwajiboy
Oktoba siyo mbaliUtazunguka sana, na bado! Halima ni Halima huyo Gwaji boy wenyu hamna kitu.
Hakuna mdini kama Gwajima, waislam tunaakili zetu hatuwezi mchagua Gwajima.Pambaneni na hali zenu, kitendo cha kuanza kutumia udini hizo ni dalili za kushindwa haitasaidia watanzania ni waelewa.
Hajatakata vizur badoAlishasafishwa na vyombo husika, wewe ni nani hata umseme?
Labda muislamu wewe ambaye ni muislamu jinaHakuna mdini kama Gwajima, waislam tunaakili zetu hatuwezi mchagua Gwajima.
Kwa taarifa yako hilo ni tusi kubwa sana kwa wanawake wenye kujiheshimu, yaani huyo Gwajima sijui kwanini kasukumiwa huo msalaba.Gwaji aanze kushona suti tu mapema aachane na hivyo vizibao bungeni.
Kama kampeni yenyewe mnategemea clips zake akitia,kibongobongo hiyo siyo habari labda ingekuwa kainamishwa.
Mungu wa kweli amemkimbia, kabaki na mungu wake wa huko anapopajua yeye.Gwajima ana Mungu atashinda
Gwajima ni rafiki wa waislamuGwajima hatopata Kura ya Muislam hata mmoja na mimi nikiwa miongoni mwao.
Unapoleta udini na ukabila hautaisaidia Chadema hata kidogo siyo lazima Mdee awe mbunge miaka yote.Kura zote a waislamu keshakosa msukuma mjinga labda akalete wa Kolomije wampigie. Wasukuma Hovyooooo
Gwajima ana kashfa yenye ushahidi na makandokando mengi, Mdee ana kashfa za kusemwa tu zisizo hata na chembe ya ushahidi.
Gwajima angeweza kushinda jimbo la Mbagala au Ubungo huko, sio jimbo la Kawe ambalo lina wasomi wengi na watu wengi wenye uwezo wa kifedha!!!!
Ukabila hautawasaidia jengeni hoja si kuleta ukabila.Baada ya msukuma mmoja kukatwa na wana Kigamboni tunamleta msukuma mwingine ila walete na Ile video sasa tuone yote. Wasukuma jinga sana.
Ndio hivo kama nimuislam kweli huwezi mchagua Gwajima na mm sintompa Kura yangu Gwajima.Labda muislamu wewe ambaye ni muislamu jina