Mpaka sasa Iran imeua wananchi 201 kwenye maandamano ya kupinga dhuluma za kidini

Mpaka sasa Iran imeua wananchi 201 kwenye maandamano ya kupinga dhuluma za kidini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Iran inaedelea kumpigania "mungu" wao kwa kuua wananchi, ila hao wananchi wamechachamaa, itabidi wafe wote.

Watu wamechoka kulazimishwa dini na serikali, yanapaswa kuwa maamuzi ya binafsi.

Protests in Iran are continuing despite a crackdown by security forces that one human rights group says has killed at least 201 people. The unrest erupted in response to the death in custody of Mahsa Amini, a 22-year-old woman detained by the morality police for allegedly breaking the strict hijab rules.

There are heavy restrictions on independent and foreign reporting in the country. But the BBC Today programme's Nick Robinson was able to interview Fawaz - not his real name - who has been protesting on the streets in Tehran.
The atmosphere is quite tense and yet it is exciting.

People are hopeful this time and we hope that a real change is just around the corner. I don't think people are willing to give up this time. Now, we are seeing women in the street who are not wearing a hijab. They are walking past and people are quite supportive.

Drivers in the street honk whenever they see a woman is not covered up. They don't cover up their heads.

 
Wakati wa protests za "black lives matter" usa waliua wangapi?
Two wrongs don't make right though

Mtatumia nguvu nyingi kutetea ila dini haipaswi kulazimishia watu, mnaua mwanamke kisa kipande cha nywele.
 
Nakataa katu kwamba hakuna serikali ya kidini ila ni usanii wa watu fulani wanaojiona wajanja kutafuta namna ya kuwatawala wenzao wanaowaona kwamba ni wajinga.
 
Back
Top Bottom