Wacheni uwongo nyie miezi 9 tunaenda wa kumi Israel kauwa jumla ya ma commander wa Hezbollah 6 tu, hii week ndio kabahatika kuwauwa wa 3, katika hao 6. Leteni dalili zenu na majina yao kama mnacho ongea ni kweli.
We labda unaongelea hawa ma commander kwa hi video hapa chini, kawauwa jana, katoka kwenye step ya kuwauwa wanawake, watoto na vizee kule Gaza, mpaa kwenye mbuzi na kondoo kweli jeshi la Israel wana technology za ajabu ajabu sana.
Hawawaoni wanamgambo wa Hamasi kule gaza, lakini wanaona vitoto,wanawake na vizee.
Huko Lebanon hawawaoni wanamgambo wa Hezbollah, lakini wanaona mbuzi na kondoo 😄
Hili jeshi lazima tulipigie salute, kuwa jeshi jinga duniani kwenye history halijawahi kutokea, watu wanapiga hatua kwenye vita kwa kutumia silaha mpya,wanatarget sehemu za madui walipo wanavunja camp za jeshi na wanasambaritisha askari wote, wako waishie kufa au wakimbizwe kwenye ma hospital
Jeshi la taifa teule kwa technology zao wanaishia kwenye mbuzi na kondoo,Yesu hakukosea kuwaita makondoo walio potea
View: https://youtu.be/mTlC76pgufM?si=r-B8bAC9FjJRaLA6