Mpaka sasa Israeli imeua nusu ya Makamanda wa Hezbollah huko Kusini mwa Lebanon

FB_IMG_1727427342374.jpg

Kwenye ule mlipuko aliyetoka salama yupo kwenye hali hii na anaweza asitoboe.
 
"Shambulio la angani la leo Ijumaa lilikuwa ni la tano ambapo Israeli ilishambulia mji mkuu ndani ya wiki moja, na lilifuatia wiki ya operesheni ya angani iliyoimarishwa dhidi ya Lebanon. Israeli ilisema kuwa ililipua zaidi ya maeneo 2,000 ya Hezbollah ndani ya Lebanon, na kuua kama watu 700 na kuwajeruhi zaidi ya 1,835."
 
Nilijuwa tu Nasralah ndo target kuanzia ile issue ya pagers hadi bombardments.

Wametumia bunker busters za mmarekani. Maalum kwenye kuchimbua sehemu zenye mahandaki na tunnel networks.
Ripoti zinadai kuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, alijeruhiwa vibaya katika shambulio la anga la Israeli ambalo lilibomoa majengo sita katika kitongoji cha kusini mwa Beirut, Haret Hreik.

Nasrallah alikuwa akijificha kwenye handaki lililojengewa ulinzi, mita 30 chini ya ardhi, lakini ndege za kivita za Israeli zililenga eneo hilo kwa mabomu ya MK84 yaliyobomoa maficho baada ya kuthibitisha uwepo wake.
 
View attachment 3108600
Kwenye ule mlipuko aliyetoka salama yupo kwenye hali hii na anaweza asitoboe.
Ripoti ya ujasusi wa Marekani inatoa tamko lisilo na shaka: kama kweli Hassan Nasrallah alikuwa ndani ya handaki hilo, chini ya barabara zilizoharibiwa za Beirut, haiwezekani kwa yeye kupona. Huu sio uvumi, bali ni tathmini ya kina na makini kutoka kwa wataalamu wa ulimwengu wa ujasusi. Mabomu yaliyotumika na Israeli hayakutengenezwa kukosa shabaha au kuacha njia za kutoroka zikiwa salama—yalitengenezwa kuangamiza chochote kilichoko chini.

💣 Kauli ya afisa huyo inabeba uzito wa uzoefu na usahihi. Ikiwa Nasrallah alikuwa pale, basi amekufa. Ngome za chini ya ardhi ambazo Hezbollah inategemea zinaweza kuwa zimejengwa kwa kina, lakini hazishindikani. Mabomu haya hupenya tabaka za zege, chuma, na ardhi kwa kusudi moja: kuhakikisha kwamba hakuna kitu—hakuna kituo cha amri, hakuna kiongozi, hakuna mpiganaji—kitakachonusurika.
 
Uislam raha sana....Yuko zake uchi peponiiiiii akijibebisha na watoto watamu waki Masai
 
Back
Top Bottom