Mpaka sasa Israeli imeua nusu ya Makamanda wa Hezbollah huko Kusini mwa Lebanon

Hupendi kuona wenzako wanatangulizwa jongomeo kwenda kurithi bikra 72? ACHA WIVU BHANA 🤔
Hakuna tatizo kufa sote tutakufa, lakini jaribu muwe wa kweli kwenye habari zenu 😄 afu kufa inategemea umekufa vipi, kama umekufa unapigana na adui yako, huo ni uwanaume, tena safi sana.

Kuna watu wanakufa wako wanaiba.
 
Nusu ya makamanda wake wapo mavumbini hadi sasa, vipi kwa hao kuruta? Bado wapo laki? Hebu wahesabu tena!
Mapigano ya Israel na hizbullah mpakani yameua hizbullah 450, Israel hawasemi wamekufa wangapi,makamanda wa hizbullah waliouawa ni WA mpakani,ni nusu ya makamanda wa vikosi vya mpakani siyo jeshi zima,na hiyo nusu wanasema waisrael
 
Hata wakiwa milioni kipigo kiko pale pale…
Waluounda Hilo taifa feki, uingereza,wamewataka Israel kusitisha mapigano Mara moja huko Gaza na kuitambua Palestine Kama taifa huru,ilipofika uingereza ikaitenga south Africa ya kibaguzi,haikupita miaka miwili USA akafuata na kaburu akaporomoka,mwisho wa Israel umefika
 
Usitoke kando ya radio yako
 
Kwa udhalimu, uuaji, ukatili, unyama! Hata waje makamanda wote! Bado Hamas watakuwepo na bado Wapalestina watadai nchi yao!
Historia inasema hivyo! Mifano nchi zote zilizotawaliwa na wakoloni! Karibia zote zilipata uhuru na nchi zao!
Solution?
2 States. Period...
 
Israel wakiuwawa husikii habari wanakaa kimya wakati Pale Gaza kaeneo kama Bunju tu wamesota mwaka mzima na bado wanasota wajinga sana
 
Ni jengo lipo beirut.
Leo jioni jeshi la Israel wameshambuliwa vikali sana.

Na kulitokeailipuko mingi sana baada ya shambulio Hilo.
Kitu hicho kimwonyesha kuwa kulikuwa na siraha ndani ya jengo Hilo.


View: https://youtu.be/90Ma4Uu09bA?si=XKfkmcrx86fSAAFn.
Ulitokea moshi mkubwa sana mjini beirut Leo jioni.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Pia kutokana na shambulio Hilo
Imeripotiwa kuwa kiongozi mmoja wa Hezbollah kauwawa.

View: https://x.com/sentdefender/status/1839708000753246297?t=qeRU09CSN2XUkNtG0gd69A&s=19
 
Sasa hivi ni risk kuwa karibu au kusogeleana na kamanda au ofisa wa ngazi za juu wa Hamas na Hezbollah, maana popote walipo wanajulikana kwa Jeshi la Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…