Na watasingizia Wapinzani, pumbavu kweli hawa JamaaNa CCM haitaona Tatizo!
Ndiyo,Na watasingizia Wapinzani, pumbavu kweli hawa Jamaa
CCM ndio vyama ?Wa CCM
Nimeuliza swali ungejibu swali kiufasaha ingekuwa na maana zaidi, Ila ulicho andika kina nipa mashaka juu ya uwezo wako wa akili.Umeuliza ujinga umejibiwa ujinga
Wabunge wa upinzani wa vyama gani?
Yaani nishasema kabisa "wabunge Wa UPINZANI" ila wewe unauliza Eti wapinzani wa Chama Gani!Nimeuliza swali ungejibu swali kiufasaha ingekuwa na maana zaidi, Ila ulicho andika kina nipa mashaka juu ya uwezo wako wa akili.
Naunga mkono hoja, ndio maana tumemuomba MamaTukubali tukatae upinzani ni muhimu sana katika nchi yoyote Ili watu wasibweteke na kufanya mambo Kwa faida zao Binafsi.