Sawa mpo kwenye kumi bora hebu zitizame timu zilizo kwenye kimi bora na ww na mechi ulizocheza hivi karibuni.Haya kaka mwezi huu unamechi na Al Ahly kwa mpira wahuu wa msimu huu,utatia aibu hapo kwa Mkapa.Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Walitajwa wawili.Wewe jina lako ni nani kati ya :-Uchambuzi wangu
Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...
..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu ya kupumzikia since Kuna poor goalkeeping na defense ni mbovu
NB: viongozi boresheni technical points....haiwezekani timu inashinda Baada ya makolo kuminya kende sana [emoji23][emoji23] ( ushirikina)View attachment 2768770
Hatua hii tunapita wote na hizo timu hii ni mara ya 6 mfululizo hata Esperance walisherekea siyo kama mara mbili mfululizo miaka hii basi mara 3,Je Yanga mara ya ngapi?Sawa mpo kwenye kumi bora hebu zitizame timu zilizo kwenye kimi bora na ww na mechi ulizocheza hivi karibuni.Haya kaka mwezi huu unamechi na Al Ahly kwa mpira wahuu wa msimu huu,utatia aibu hapo kwa Mkapa.
Kichwa chako kimejaa kamasi .......mind u hata mazembe walikuwa Bora sana ......Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Najadiliana na Sunday Manara na Kikwete tu siyo bogusKichwa chako kimejaa kamasi .......mind u hata mazembe walikuwa Bora sana ......
Nothing last long
FactKama mpaka leo Kuna shabiki wa Simba hajaridhika na timu yake inavyocheza atakua anajiumiza bure.
Simba tangu watoke uturuki wameshacheza mechi za kutosha kuonyesha namna timu yao ilivyo.
Kwasababu ki ufundi hakuna kitakacho ongezeka wanachotakiwa kufurahia ni matokeo tu.
Kutaka kuifananisha timu yao na Yanga ni makosa makubwa sana, ki ufundi ni timu zilizo tofautiana sana na hazina uwiano ata kidogo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu Dabil, hata kama sio kweli lakini kiwango cha simba kinasikitisha sana! Managament wachukue hatua mapema. Huko mbele naona mtajutia kuendelea kuwa na huyo RobertinyoClub ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
π§ππ π¨ πππ‘π¬π πππππ‘π¦ππππ§π¦Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Mkuu wachezaji tunao wazuri.Mkuu Dabil, hata kama sio kweli lakini kiwango cha simba kinasikitisha sana! Managament wachukue hatua mapema. Huko mbele naona mtajutia kuendelea kuwa na huyo Robertinyo