Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Kocha yupo more technical kuliko kufurahisha mashabiki anachoangalia nikusonga mbele or kupata anachotaka anamapungufu sikatai ila ndio kocha aliefungwa mechi chache sn,kingine tff inaziua hizi team wachezaji wetu sio wavipaji ila wanategemea kucheza ndio wapande viwango ligi Kuu walitakiwa kuendelea at least 3 days before next utaona hakutakua na Kipya.
 
Hatua hii tunapita wote na hizo timu hii ni mara ya 6 mfululizo hata Esperance walisherekea siyo kama mara mbili mfululizo miaka hii basi mara 3,Je Yanga mara ya ngapi?

Halafu husiwa zungumzie Esperance zungumzia current form ya timu yako kwani form yako na Esperance waliokuwa nayo ni mbingu na ardhi.

Au kwa kuwa umepita mara sita ndio form yako na Esperance ni sawa.

Halafu championship umefika mara nne na confederation mara moja na robo ukaenda kuchoma nyasi za watu kwa kuota moto katikati ya uwanja au umewasahu Garaxy na wale Wanakonde wa Msumbiji waliokutoa mechi za mzunguko.

Mimi mara moja,Ila nimefika fainali ya CAF Confederation,Simba je ishawahi kufika fainali ya CAF CONFEDERATION?
 
Mkuu wachezaji tunao wazuri.
1.Kibu
2.Manula/Salum
3.Inonga
4.Miquison
5.Chama
6.Saido
7.Kapombe
8.Shabalala
9.Ngoma
10.Mzamiru
11.Baleke
12.Onana
13.Ukuta wa Yeriko


Kweli unashinda kupata first 11? Wachezaji wazuri halafu mpira ndo ule?hatuna kocha aisee
Fact
 
Kama mpaka leo Kuna shabiki wa Simba hajaridhika na timu yake inavyocheza atakua anajiumiza bure.

Simba tangu watoke uturuki wameshacheza mechi za kutosha kuonyesha namna timu yao ilivyo.

Kwasababu ki ufundi hakuna kitakacho ongezeka wanachotakiwa kufurahia ni matokeo tu.

Kutaka kuifananisha timu yao na Yanga ni makosa makubwa sana, ki ufundi ni timu zilizo tofautiana sana na hazina uwiano ata kidogo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Watu hawa fananisha bali identity ya Simba tokea ni mpira kuwekwa chini (Lunyasi),kinacho watesa mashabiki standard mliyo iweka nyie miaka yote ndio inayo watesa mashabiki.
 
𝗧𝗜𝗠𝗨 𝗭𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗟𝗘𝗔𝗡𝗦𝗛𝗘𝗘𝗧𝗦

Timu zilizoondoka na Clean sheets kwenye hatua Ya Kwanza ya kutinga Makundi Caf Champions League

▪️Al Ahly 🇪🇬
▪️Yanga Sc 🇹🇿
▪️TP Mazembe 🇨🇩
▪️ES Tunis 🇹🇳
▪️Mamelodi Sundowns 🇿🇦
▪️Wydad 🇲🇦

😆😆😆😆😆😆
hizo cleensheet zimewasaidia nini kwenda group stage
 
Back
Top Bottom