Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
ni kweli tuna hamu kubwa ya kulileta kombe lile EAUlisema pale juu, tunataka kunyanyua makwapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli tuna hamu kubwa ya kulileta kombe lile EAUlisema pale juu, tunataka kunyanyua makwapa
Sio mara zote takwimu zinaonesha hali halisi. Tukiangalia takwimu tu tutaishia kusema frank lampard alikua bora zaidi ya zinadine zidaneClub ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.
Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Kichwa chako kimejaa kamasi .......mind u hata mazembe walikuwa Bora sana ......
Nothing last long