Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.

Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Sio mara zote takwimu zinaonesha hali halisi. Tukiangalia takwimu tu tutaishia kusema frank lampard alikua bora zaidi ya zinadine zidane
 
Back
Top Bottom