Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Umesahau we miaka 25 hujapita hata kwa upendeleo kama CUF ya Lipumba
Yanga ndio timu ya kwanza Ardhi ya Tz kufuzu makundi... Kwahiyo sio Jambo geni.... HAKUNA timu bora ngazi ya 10 akasubiri viti maalum na pira gimbiiiiiii
 
Mi siendi mbali na wewe aiseee Simba hii aisee hata siielewi ***** daaah timu imekuja kuwa ya hovyo kisenge daah
 
Team zinapangwa kwa pots katika haya mashindano.
Na pia kuna team haziwezi kukutana pia katika makundi labda mbeleni uko.
 
Team zinapangwa kwa pots katika haya mashindano.
Na kuna team haziwezi kukutana pia katika makundi labda mbeleni uko.
 
Yanga ndio timu ya kwanza Ardhi ya Tz kufuzu makundi... Kwahiyo sio Jambo geni.... HAKUNA timu bora ngazi ya 10 akasubiri viti maalum na pira gimbiiiiiii
Makundi ya vyura au?
 
Team zinapangwa kwa pots katika haya mashindano.
Na kuna team haziwezi kukutana pia katika makundi labda mbeleni uko.
Lakini huwa wanapangaje,unakuta miaka nenda rudi timu za kusini mwa Africa na Africa ya kati hazikutani wenyewe kwenye kundi moja,ni mara chache
 
Hawa ndio wanaomba kupangiwa na Simba[emoji1]
 
kuna kitimu fulani kinaitwa ki future kimeifunga singida, kile hata hakitafika mbali, then itafuata simba.
Hujui hata Future inashiriki michuano gani. Ndio tatizo la kukosa makundi ya CL kwa muda mrefu sawa na umri wa Mzinze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…