Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Kocha yupo more technical kuliko kufurahisha mashabiki anachoangalia nikusonga mbele or kupata anachotaka anamapungufu sikatai ila ndio kocha aliefungwa mechi chache sn,kingine tff inaziua hizi team wachezaji wetu sio wavipaji ila wanategemea kucheza ndio wapande viwango ligi Kuu walitakiwa kuendelea at least 3 days before next utaona hakutakua na Kipya.
 
Hatua hii tunapita wote na hizo timu hii ni mara ya 6 mfululizo hata Esperance walisherekea siyo kama mara mbili mfululizo miaka hii basi mara 3,Je Yanga mara ya ngapi?

Halafu husiwa zungumzie Esperance zungumzia current form ya timu yako kwani form yako na Esperance waliokuwa nayo ni mbingu na ardhi.

Au kwa kuwa umepita mara sita ndio form yako na Esperance ni sawa.

Halafu championship umefika mara nne na confederation mara moja na robo ukaenda kuchoma nyasi za watu kwa kuota moto katikati ya uwanja au umewasahu Garaxy na wale Wanakonde wa Msumbiji waliokutoa mechi za mzunguko.

Mimi mara moja,Ila nimefika fainali ya CAF Confederation,Simba je ishawahi kufika fainali ya CAF CONFEDERATION?
 
Fact
 
Watu hawa fananisha bali identity ya Simba tokea ni mpira kuwekwa chini (Lunyasi),kinacho watesa mashabiki standard mliyo iweka nyie miaka yote ndio inayo watesa mashabiki.
 
hizo cleensheet zimewasaidia nini kwenda group stage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…