Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Huyo Manara wako kumbe ndo alikuwa anambemmbeleza Mo asijiuzulu uenyekiti ili aendelee kulinda kibarua chake na anavyopenda vya bure yule angepakuliwa.Makolo Fc
Mo kawavuruga na uku manara anapiga kwenye mshono
Hawa itoshe tu kusema Ni mashabiki plastic [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
siku hizi Simba haichezi "pira biriani"
siku hizi wanacheza "pira makande"
Maana yake unaijua au ndio ujuha wa kushabikia kila kitu hata kama haukijui..?
Hivi Kenya hakuna timu?Kama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili ya Uzi.
Hizi utupolo huwa zina stress.Kumbe msipo ona simba wakiandika kitu nayo pia ni kero..?