Mpaka sasa Makolo hawajaweka Uzi kuelekea match ya saa 10

Mpaka sasa Makolo hawajaweka Uzi kuelekea match ya saa 10

Makolo Fc
Mo kawavuruga na uku manara anapiga kwenye mshono

Hawa itoshe tu kusema Ni mashabiki plastic [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo Manara wako kumbe ndo alikuwa anambemmbeleza Mo asijiuzulu uenyekiti ili aendelee kulinda kibarua chake na anavyopenda vya bure yule angepakuliwa.
 
Hadi chama anawajua kama jamaa ni makolo

20210930_224351.jpg
 
Kumbe msipo ona simba wakiandika kitu nayo pia ni kero..?
 
Vyura pekee wa Jangwani wanapatikana Utopoloni Kariakoo Daslama Tanzania
 
Back
Top Bottom