Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Hizi utupolo huwa zina stress.
Yaani sijui wanatakaje..? Ila hawa vimdomo domo ni.mwanzoni tulia tu muda utawanyamazisha wakianza zile sare sare zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi utupolo huwa zina stress.
Hahaha wengi wao masshabiki maandazi !!!View attachment 1959302
Yaani sijui wanatakaje..? Ila hawa vimdomo domo ni.mwanzoni tulia tu muda utawanyamazisha wakianza zile sare sare zao
Mautopolo tuliiieni, tulieniiiii ma utopoloooooooooooooooooooooo, MAUTOPOLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, MAUTOPOLOOOOOOOOOOOOOOO UTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, UTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOKama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili ya Uzi.
Makolo Fc
Mo kawavuruga na uku manara anapiga kwenye mshono
Hawa itoshe tu kusema Ni mashabiki plastic 😀😀😀😀
Afu na utopolo inacheza pira hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi.ile timu iliyokua inacheza na kagera ndio.mnayo ipigia kelele kuwa ni nzuri inatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makolo fc wamepoteana hawaamini kwa sasa timu yao inacheza pira mlenda
siku hizi Simba haichezi "pira biriani"
siku hizi wanacheza "pira makande"
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1320][emoji1320][emoji1320] kagera aliupiga mwingi mno
Maisha yao hujayazoea tangu enzi za zahera, kaze huwa wanaanzaga ligi hivi na kelel nyingi hapo katikati unajua kinachotokeaga...halafu karia na Tff wanakula lawama baada ya hapo ni kusubiri usajili mpya waanze kelele tenaKidimbwi kwa kelele hawajambo.
Ndio maisha yao.Maisha yao hujayazoea tangu enzi za zahera, kaze huwa wanaanzaga ligi hivi na kelel nyingi hapo katikati unajua kinachotokeaga...halafu karia na Tff wanakula lawama baada ya hapo ni kusubiri usajili mpya waanze kelele tena
Leo tumeanza kubaguana kwa ajili ya Mpira? Makolo muli bwanji MamaaIla huyu mkenya wanjiru anapenda kutufatilia jamani yani Simba iko mdomoni mwake. Halafu anabwabwaja Utopolo
Maana ya Makolo pleaseMaana yake unaijua au ndio ujuha wa kushabikia kila kitu hata kama haukijui..?
Kule timu maarufu ni Yanga Africans tuuHivi Kenya hakuna timu?
Timu nzuri na inayotisha ni ile iliyoifunga Makolo.Afu na utopolo inacheza pira hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi.ile timu iliyokua inacheza na kagera ndio.mnayo ipigia kelele kuwa ni nzuri inatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kukaririMaisha yao hujayazoea tangu enzi za zahera, kaze huwa wanaanzaga ligi hivi na kelel nyingi hapo katikati unajua kinachotokeaga...halafu karia na Tff wanakula lawama baada ya hapo ni kusubiri usajili mpya waanze kelele tena
Afu haina kombe la.ligi.miaka 4 na CAF kule imepigwa nje ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hembu kashabikie gormahia za huko.kisumu kwenuTimu nzuri na inayotisha ni ile iliyoifunga Makolo.
Makolo.ina maanisha wanaume wa kazi za kibabeMaana ya Makolo please
Hakuna kipya kama ile movie ya Greyhound day you have been doing it for 4 yearsEndelea kukariri
Anaacha kushabikia kisumu city yao huko anateseka na utoHakuna kipya kama ile movie ya Greyhound day you have been doing it for 4 years