Mpaka sasa Makolo hawajaweka Uzi kuelekea match ya saa 10

Mpaka sasa Makolo hawajaweka Uzi kuelekea match ya saa 10

Hizi utupolo huwa zina stress.
FB_IMG_16330065396870069.jpg

Yaani sijui wanatakaje..? Ila hawa vimdomo domo ni.mwanzoni tulia tu muda utawanyamazisha wakianza zile sare sare zao
 
ut
Kama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili ya Uzi.
Mautopolo tuliiieni, tulieniiiii ma utopoloooooooooooooooooooooo, MAUTOPOLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, MAUTOPOLOOOOOOOOOOOOOOO UTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, UTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Makolo fc wamepoteana hawaamini kwa sasa timu yao inacheza pira mlenda
Afu na utopolo inacheza pira hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi.ile timu iliyokua inacheza na kagera ndio.mnayo ipigia kelele kuwa ni nzuri inatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha yao hujayazoea tangu enzi za zahera, kaze huwa wanaanzaga ligi hivi na kelel nyingi hapo katikati unajua kinachotokeaga...halafu karia na Tff wanakula lawama baada ya hapo ni kusubiri usajili mpya waanze kelele tena
Ndio maisha yao.
 
Ila huyu mkenya wanjiru anapenda kutufatilia jamani yani Simba iko mdomoni mwake. Halafu anabwabwaja Utopolo
Leo tumeanza kubaguana kwa ajili ya Mpira? Makolo muli bwanji Mamaa
 
Afu na utopolo inacheza pira hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi.ile timu iliyokua inacheza na kagera ndio.mnayo ipigia kelele kuwa ni nzuri inatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Timu nzuri na inayotisha ni ile iliyoifunga Makolo.
 
Maisha yao hujayazoea tangu enzi za zahera, kaze huwa wanaanzaga ligi hivi na kelel nyingi hapo katikati unajua kinachotokeaga...halafu karia na Tff wanakula lawama baada ya hapo ni kusubiri usajili mpya waanze kelele tena
Endelea kukariri
 
Timu nzuri na inayotisha ni ile iliyoifunga Makolo.
Afu haina kombe la.ligi.miaka 4 na CAF kule imepigwa nje ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hembu kashabikie gormahia za huko.kisumu kwenu
 
Back
Top Bottom