Mpaka sasa mama kashatoa sababu 3 za vijana kuandamana mo29. Tutarajie sababu ipi nyingine?

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
311
Reaction score
582
Salut kwenu JF great thinkers.

Nisiwachoshe! Twende Moja kwa Moja kwenye mada. Sababu alizozitaja ambazo zilipelekea vijana KUANDAMANA October 29 na kupelekea kifo Cha halaiki ya vijana wa kitanzania ni kama ifuatavyo,

1. Vijana kutoka nje ya nchi
2. Vijana walifuata Mkumbo
3. Vijana walilipwa pesa ili kuleta vurugu

#December 9.
 
Ndiyo kutapata kwa mfa maji huko. Kila anaposhika panateleza. Hata haamini kama vijana wa Tanganyika wangeweza kujitokeza kuipigania nchi yao. Na bado asubiri D9.
 
Tatizo ni kubwa sana.
 
Ndiyo kutapata kwa mfa maji huko. Kila anaposhika panateleza. Hata haamini kama vijana wa Tanganyika wangeweza kujitokeza kuipigania nchi yao. Na bado asubiri D9.
Proffesor Lipumba wa CUF alinukuliwa akisema "Rais UNAPWAYA, UNAPWAYA"
 
Back
Top Bottom