Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Mimi mwenyewe nashangaa...!!Kwa nini mnamuita mama?
Mimi mwenyewe nashangaa...!!Kwa nini mnamuita mama?
Kiuungwana ni haki yake kuitwa mama kwasababu kaenda leba kujifungua Abdul na Wanu.Mimi mwenyewe nashangaa...!!
Kwenda leba haikupi justification ya kuitwa Mama.Kiuungwana ni haki yake kuitwa mama kwasababu kaenda leba kujifungua Abdul na Wanu.