Kwa sababu kamzaa WANU na ABDULKwa nini mnamuita mama?
Kwasababu kawazaa Abdul na WanuWhy mnamuita mama? Ni mama yenu?
Kwaio kutaka kusema Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake mkuu?Sijajua kwa kweli na hivi CHRISTMAS MUBARAK imekaribia sijui itakuaje
Inshaallah ,,Tumsifu yesu kristoKwaio kutaka kusema Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake mkuu?
Tatizo ni kubwa sana.Salut kwenu JF great thinkers.
Nisiwachoshe! Twende Moja kwa Moja kwenye mada. Sababu alizozitaja ambazo zilipelekea vijana KUANDAMANA October 29 na kupelekea kifo Cha halaiki ya vijana wa kitanzania ni kama ifuatavyo,
1. Vijana kutoka nje ya nchi
2. Vijana walifuata Mkumbo
3. Vijana walilipwa pesa ili kuleta vurugu
#December 9.
Ni mwanamkeKwa nini mnamuita mama?
Takbiir,,, Mwanakondoo ameshindaInshaallah ,,Tumsifu yesu kristo
Proffesor Lipumba wa CUF alinukuliwa akisema "Rais UNAPWAYA, UNAPWAYA"Ndiyo kutapata kwa mfa maji huko. Kila anaposhika panateleza. Hata haamini kama vijana wa Tanganyika wangeweza kujitokeza kuipigania nchi yao. Na bado asubiri D9.
Lipumba wa CUF alinukuliwa akisema "Rais UNAPWAYA!, UNAPWAYA!"hiyo yote kufanya vijana hawajui haki zao