Mpaka sasa mama kashatoa sababu 3 za vijana kuandamana mo29. Tutarajie sababu ipi nyingine?

Kiuungwana ni haki yake kuitwa mama kwasababu kaenda leba kujifungua Abdul na Wanu.
Kwenda leba haikupi justification ya kuitwa Mama.

Mama ni jina lenye nguvu na sifa za kipekee kabsa

Siyo kila aliyezaa basi anafaa kuitwa Mama. Hapana. Mama ni zaidi ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…