MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu.
Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa.
Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo kwasabab mpka sasa tushaona rangi halisi za wanasiasa waliokuwa wanajifanya wazalendo kumbe ni wazee wa kuuma na kupuliza.
Lissu kaja kuuiibua CHADEMA halisi, CHADEMA ya wapigania ukombozi wa hili Taifa sasa vita iliyobaki ni kati ya mwananchi mzalendo na ma papa walafi.