Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Frequency haziendani yeye ame tune 88.5 wewe ume tune 88.9

Chakufanya cheza na frequency zake hadi utampata

Then jaribu kujua time zone yake sio kila muda utampata mtu na kuongea mambo ya kumvutia au kuendana na akili yake.

Peoples are statics by nature you need to be dynamic as to match with them
Mkuu naomba nielekeze hapo kwenye kujua time zone ya mtu
 
Wakuu habari za humu ndani...

Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.

Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.

Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...

Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
.. She doesnt care...
 
Back
Top Bottom