Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #101
Pesa sio tatizo kwangu... Au nitafute shilingi ngapi.basi tafuta tu hela,, namimi kuna mda nitakuboost kdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa sio tatizo kwangu... Au nitafute shilingi ngapi.basi tafuta tu hela,, namimi kuna mda nitakuboost kdogo
Onhoo,,umenkumbsha,yawezekana aseeeeAu ndio mc pilipili mwenyewe🤣🤣
Sasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensaMpe nafasi nawe ukae mbali.
Muda utasema asiposhtuka ujue hakuwa wako.
Watendee kama wao wanavyokutendea.
ooh na bado penzi la kutesa,,wacha nije nikutulize😌Pesa sio tatizo kwangu... Au nitafute shilingi ngapi.
Nipende mimi tu kuanzia sasaSasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensa
Nifungulie mlango basi bestOnhoo,,umenkumbsha,yawezekana aseeee
Njoo mama nateseka mimi.ooh na bado penzi la kutesa,,wacha nije nikutulize😌
Nakupenda nakupenda nakupenda nakupenda mamaNipende mimi tu kuanzia sasa
Jichanganye nikujutisheSirudii kuwaza ivo tena
Mkuu asante sana naona kabisa una kitu weweUsiogope, endelea kupambania kombe mpaka damu ikutoke.
Mimi silii mkuu labda ww ndo unaliakwa uandishi huu yupo sahihi, kuwa mwanaume bro acha kulialia
Vp mzigo anatoa ukihitaji?Sasa mwanaharamu unaposema nikae nae mbali we unaweza mkuu na mtu nampensa
Mkuu naomba nielekeze hapo kwenye kujua time zone ya mtuFrequency haziendani yeye ame tune 88.5 wewe ume tune 88.9
Chakufanya cheza na frequency zake hadi utampata
Then jaribu kujua time zone yake sio kila muda utampata mtu na kuongea mambo ya kumvutia au kuendana na akili yake.
Peoples are statics by nature you need to be dynamic as to match with them
Mkuuu hiyo kawaida tuy..Vp mzigo anatoa ukihitaji?
Nafanya nini nibaki peke anguMko wengi hapo
.. She doesnt care...Wakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Na wewe una mimavi kichwani..=Why she doesn't care,
kwani lazima utumie lugha usiyoijuwa?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sikupingi comradeMkuuu hiyo kawaida tuy..
Mapenzi ni zaidi ya mzigo
Ndio.. She doesnt care...
Sasa nipo na huyu mtoto ms rSikupingi comrade