Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Hivi hizi hela wanawake ni za kupewa tu ili wao wafurahie halafu watupe stress...kwa nini asitafute zake na mimi za kwangu halfu tukikutana tuzitumie wote tufurahi....! Au wao ndio wanatakiwa kufurahi peke yao.
Uja ingia kwenye mfumo wewe
 
Huenda ayupo moyon mwako tafuta pumnziko jipya
Natafuta pumziko jipya sawq lakini ishu inakuja...
Ni ngumu sana kumtengeneza mtu aendane na wewe...
Niliwekeza kwa huyu mtu aiseee hapa nawaza hata nikianza na mwingine mpya je atakua kama yule
 
Back
Top Bottom