Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ndivyo ilivyo kadri unavyojipendekeza ndivyo utakavyoumia zaidi, jilazimishe kumpotezeaNateseka sasa...
Nafanya nn ili nimpuuze japo kuna huyu mmoja ananikubali ila mimi daah simwelewi kabisa hata nikisema ni focus nae nashindwa...
Serious am gonna to be crazy