Mpaka sasa nauli hazijashushwa licha ya mafuta kushuka bei

Mpaka sasa nauli hazijashushwa licha ya mafuta kushuka bei

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
 
Huu ni uchochezi, wewe mlofa hujaona lile andiko la benki kuu uchumi unazidi kupaa?
 
Back
Top Bottom