MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Oct 21, 2022 #1 Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
Agogwe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2,742 Reaction score 3,000 Oct 21, 2022 #2 Huu ni uchochezi, wewe mlofa hujaona lile andiko la benki kuu uchumi unazidi kupaa?
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,187 Reaction score 6,620 Oct 22, 2022 #3 Unategemea we kapuku tukupiganie tuache kuipigania wenye pesa