Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
Ni kweli mpira unabadilika ila jamaa leo wamecheza kiume hasa. Wamepigana jihad.Kombe la dunia halipo hivyo,Italy kwenye makundi ilianza hovyo akaja kuchukua kombe kwa penati na Ufaransa. Ufaransa wenyewe nao kwenye makundi walipita kwa zali.
Ila muhindi leo kazikusanya hela zake.
Mwaka 1990 Argentina alianza kwa kufungwa na Cameroon, ambaye alikuja kuongoza kundi kwa pointi 6.Kombe la dunia halipo hivyo,Italy kwenye makundi ilianza hovyo akaja kuchukua kombe kwa penati na Ufaransa. Ufaransa wenyewe nao kwenye makundi walipita kwa zali.
Ila muhindi leo kazikusanya hela zake.
Mwaka 1990 Argentina alianza kwa kufungwa na Cameroon, ambaye alikuja kuongoza kundi kwa pointi 6.
Argentina alivuka kwa bahati, alimaliza akiwa ni wa tatu na pointi zake nne, wa pili akiwa Romania, naye akiwa na pointi nne.
Mwishowe, alifika fainali.
Mwaka, 2010,Hispania alianza kwa kufungwa na Uswis 1:0. Mwishoni alifika fainali, na kubeba kombe.
Kama unaona swala tano ni kujiharibia hilo baki nalo wewe...! Kwani hizo ni Imani zao kwa raia wa nchi ya Saudi Arabia, kwahivyo hizo fikra zako usitake zibebwe na wengine.Saudi Arabia wamecheza mpira vizuri na kuwashinda Argentina kinyume kabisa na matarajio ya karibu watu wote.
Kumbe hawa watu wangeachana na mambo ya swala tano kwa siku wangekuwa mbali kwa mambo mengi ila kumbe wanajiharibia wenyewe tu.
Ukiangalia vizuri walivyokuwa wakicheza walicheza kwa ufundi mkubwa sana na mpira wa kufundishwa kabisa.
Saudi Arabia were well disciplined throughout the entertaining match and surely they deserved to win, if they can maintain this spirit definitely they can turn out to be a dream team in this tournament.
Sasa hiyo ya kuanza kwa kufungwa then kwenda kuwa bingwa huoni probability yake ni ndogo sana unaweza kuta kwenye mabingwa wote wa worldcup toka kuanzishwa kwake hiyo haijatokea zaidi ya mara 3 katika makombe 21yaliyobebwaMwaka 1990 Argentina alianza kwa kufungwa na Cameroon, ambaye alikuja kuongoza kundi kwa pointi 6.
Argentina alivuka kwa bahati, alimaliza akiwa ni wa tatu na pointi zake nne, wa pili akiwa Romania, naye akiwa na pointi nne.
Mwishowe, alifika fainali.
Mwaka, 2010,Hispania alianza kwa kufungwa na Uswis 1:0. Mwishoni alifika fainali, na kubeba kombe.
Halafu huwezi kuamini eti huyu kocha alishawahi kuomba kazi ya kuinoa Taifa Stars! Halafu mwisho wa siku viongozi wa TFF wakampa timu Emmanuel Amuneke!!With Coach Hervé Renard (Former Chipolopolo (zambia) Coach).
![]()
Hervé Renard - Manager profile
This is the profile site of the manager Hervé Renard. The site lists all clubs he coached and all clubs he played for.www.transfermarkt.com
Kama Zambia waliweza, naamini tusingeshindwa.Labda walishindwana kwenye malipo.
Everyone is entitled to his/her own opinion.Kama unaona swala tano ni kujiharibia hilo baki nalo wewe...! Kwani hizo ni Imani zao kwa raia wa nchi ya Saudi Arabia, kwahivyo hizo fikra zako usitake zibebwe na wengine.
Sijui mpagani wewe..!Maana hata mwenye imani ya Kikristo hawezi kusema hivi.
Labda kufungwa kutawafanya wagangamale sana siku zijazo.Sasa hiyo ya kuanza kwa kufungwa then kwenda kuwa bingwa huoni probability yake ni ndogo sana unaweza kuta kwenye mabingwa wote wa worldcup toka kuanzishwa kwake hiyo haijatokea zaidi ya mara 3 katika makombe 21yaliyobebwa
Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
Croatia na Denmark watoe hapo.Kuifunga Argentina sio mchezo mzee baba, na ndio timu iliyopewa nafasi ya kufanya vizuri kombe la dunia.. mechi 36 amecheza bila kupoteza, hiyo jana angeshinda angemfikia italy mwenye 37.
Mshindi wa kombe la dunia anatokea hapa
Saudia
Argentina
France
Germany
Spain
Denmark
Croatia
Kila la heri Albiceleste
Mahaba dini yakuua. Unadhani Mechi dunia nzima ilionyeshwa kwako tu. Timu baada ya kupata bao la pili haikuwahi kufanya shambulizi hiyo Kasi uliiona wapi. Unadhani mpaka wanaweka siku ya mapumziko Leo ni sababu ya Kasi na kukaba?Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.