Mpaka sasa ni Saudi Arabia pekee iliyocheza mpira wa kuweza kubeba Kombe la Dunia

Mpaka sasa ni Saudi Arabia pekee iliyocheza mpira wa kuweza kubeba Kombe la Dunia

Mahaba dini yakuua. Unadhani Mechi dunia nzima ilionyeshwa kwako tu. Timu baada ya kupata bao la pili haikuwahi kufanya shambulizi hiyo Kasi uliiona wapi. Unadhani mpaka wanaweka siku ya mapumziko Leo ni sababu ya Kasi na kukaba?
Mimi ni mkristo safi, hapa nimeandika kutokana na kile nilichoona. Baada ya ushindi plan yao ilikuwa ni kulinda, kukaba na kushambulia kwa kushtukiza.
 
Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
Mwaka huu kombe laweza kupata mwenyeji mpya inaqeza kuchukua nchi ambayo hatuitarajii
 
Back
Top Bottom